Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni BRELA leo tarehe 13 Julai, 2026 imetunukiwa tuzo ya kuwa Taasisi Bora kwa kuwezesha biashara kwenye Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam...
0 Reactions
6 Replies
150 Views
Masikini wengi wakiwaongelea vibaya matajiri uwa wanapata auheni ya kisaikolojia hii ni ngumu kumeza ndio maana weng waliofanikiwa wanaongozwa kusemwa vibaya sana
3 Reactions
6 Replies
130 Views
Nimeamua kuanzisha uzi huu baada ya kufikiria muda mrefu nikijiuriza je kua masikini ni uvivu au ni mambo ya kiroho? Je "kuwa tajiri ni upambanaji au ni mambo ya kiroho maana kuna matajiri...
8 Reactions
38 Replies
540 Views
Kuna mambo mengine sio kila kitu wafahamu maana vyengine watanzania wanaona ni kama wao bado wapo kwenye zama za nyani walivyo aminishwa na CCM kwa karne hii. Server zangu nyumbani kwenye mfumo...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Kufuatia suala la sheikh Walid km kawaida yao wamekurupuka km wanavyokurupuka kwenye muandamo wa mwezi Huenda ni maelekezo kutoka juu ila suala la siasa life nguvu kwa muda Haya Allah tabaraka...
0 Reactions
2 Replies
110 Views
[Luk4:1]Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani [Mat4:8]Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki...
2 Reactions
9 Replies
164 Views
Kero yangu ni kuhusu michango inayotozwa wanafunzi wa Shule ya Msingi VETA iliyopo Mbeya Mjini Wanafunzi wanatakiwa kuchangia: Shilingi 5,000 kila mwezi; Shilingi 1,000 kila wiki; Shilingi...
1 Reactions
3 Replies
107 Views
Kuweni makini wakuu. Nimeanza kuona mauza uza kwenye account yangu ya JF, gafla inanitaka ni log in upya kuingiza details zangu. Isije ikiwa watu wa mfumo wanafanya surveillance. Nchi isha...
5 Reactions
12 Replies
180 Views
Jioni hii naona makala za waturuki kukumbuka siku ya jaribio la mapinduzi ila kwetu kuna wa puuzi October 29 ni kama kulikuwa na kibao kata cha chawa. uturuki wanatuzidi mambo mengi leo mnaona...
1 Reactions
0 Replies
64 Views
Anonymous
Tunaomba Serikali na mamlaka husika kufuatilia changamoto za ardhi zinazodaiwa kujitokeza katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Ruvuma, hususan Kijiji cha Mtangimbole. Inadaiwa kuwa baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
87 Views
Tunaposema matajiri wana siri nyingi na yeye ni mmoja wapo. Kupewa neno la mnywa damu za watoto sio kwamba anakunywa damu za watoto. Ila kutokana na tabia yake alivyoweza kuzima ndoto za watoto...
1 Reactions
6 Replies
152 Views
Nikifika hatua ya mwisho napata ujumbe huu, na nimefanya kila kitu kujaribujaribu bado ujumbe ni ule ule Nimewasiliana na benk wanaelekeza na nafanya marekebisho wapi. Nionacho wataalaam wa IT...
2 Reactions
9 Replies
198 Views
Nina mwezi sasa nafanya utafiti kuhusu masuala ya kodi, nimegundua mambo mengi sana ambayo majibu yake hata maafisa wa TRA wanajing'ata kujibu, moja ya jambo ni hili, inakuwaje wafanyabiashara...
1 Reactions
6 Replies
836 Views
Wala usijichoshe, hakuna. Ushawahi jiuliza kwanini wanawake wanachukiana na kusengenyana? Ni kwa sababu mtu pekee wa kuweza kumuelewa mwanamke hapa duniani ni mwanamke mwenzake ndio maana...
14 Reactions
92 Replies
3K Views
Refaree wa jana kwenye mechi ya kombe la dunia nusu fainali Uhispania vs Ufaransa Msalvador Ivan Barton aliacha alama ya kipekee na ya kudumu kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kuweka msalaba...
7 Reactions
28 Replies
611 Views
Kwanza Mods msiunganishe uzi wangu hizi ni tuhuma zangu binafsi kwa kkaa zangu wa kiislam tukiwaambia wanawake sisi ni nuksi na mpunguze kulala na kila mwanamke anaejilengesha huwa hamjielewi ona...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Hakika itoshe kusema wamatumbi(ngozi nyeusi) hawatofautiani na nyumbu tu Wamatumbi ndo watu pekee wanaweza kufanya jambo lile lile kwa miaka 50 straight bila kukinai Wamatumbi ndio watu pekee...
10 Reactions
73 Replies
917 Views
Hatua sahihi zilizopaswa kuchukuliwa (nyuma ya pazia). 1. Kiongozi angeitwa mapema na wakuu wake baada ya fununu kwa kumsikiliza ili kupata ukweli na maoni yake (kama mkuu wa kaya) 2. kumuita...
0 Reactions
2 Replies
104 Views
Mie kama sielewi ee
3 Reactions
6 Replies
220 Views
Habari za jioni? Shule ya msingi ya binafsi ya Kiingereza iliyopo Tanga mjini inatafuta mwalimu mzoefu wa kufundisha darasa la pili. Awe za uzoefu na ari ya kupenda kufundisha watoto wadogo...
6 Reactions
27 Replies
278 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…