Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa.
Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza...
Actually sio wasukuma, makabila mengi sana wamechukulia sherehe/ndoa ni sehemu ya kupiga pesa za wanamichango.
Ni nadra sana kuona harusi za mwanaume anayefunga ndoa, wazazi wake wanawapa zawadi...
Kuna watu wanatembelea JF ilikusoma threads za watu wengine na kazi yao ni kutoa likes, laughs, dislikes, fire etc peke yake, Nadhami mnatambua JF wametengeneza system kwa namna mbayo thread...
Hii hipo dunia nzima kila jambo.Kuna maeneo mfano dar es salaam pale kigamboni na n.k au mmbwemi ilikuwa ngumu mtu kununua zaidi kuzidi chini ya laki tisa na zaidi kipindi cha zamani.
Leo...
Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto kubwa ya huduma ya kupiga na kupokea simu (voice calls) kwenye mtandao wa Vodacom Tanzania katika eneo la Tarime, Mkoa wa Mara.
Kwa muda sasa...
hii ni kelele , weka hata bei, location
https://www.jamiiforums.com/threads/fast-food-kwa-wafanyakazi-wa-maofisini-dar-es-salaam-karibuni-sana.2453387/
jamii forum inapoteza pesa kijinga title...
Hapo zamani za kale palikuwa na kijiji kimoja kizuri sanaa. Kijiji hicho kilikuwa na vitu vizuri kama dhahabu, gesi, maji safi na na mali nyingi msituni. Basi kiongozi mmoja mzalendo akapewa kazi...
Mimi ni mfanyabiashara wa simu na vifaa vyake katika maeneo ya Machinga na Karume, Dar es Salaam, Tarehe 25 Juni 2026, siku ya Alhamisi, mgambo wa Jiji walifika ghafla katika maduka yetu na...
Paternus Niyegira Mchambuzi wa Masuala ya Siasa na Uongozi amesema kauli za baadhi ya viongozi wa serikali zinakosa utashi na staha katika uwasilishaji wa hoja zao kwa wananchi.
Akizungumza...
Hapa ni kwa Kituo cha Daladala cha "Kwa Yusuph" kilichopo Mbezi (Morogoro Road) kwa sasa kimegeuka kuwa stendi ya magari makubwa (malori) yanayosimama kwa ajili ya kupakia abiria pamoja na gari...
Wakuu saizi songea kumenoga, dereva ukikosa kazi, basi wewe si dereva
Kuna nafasi za kazi kwenye mrad wa apz unaitaji madereva 3000
gari ni shacman 380,f3000 gear12,
Kazi ni mchana na usiku...
Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya dola milioni 1 za Kimarekani, sawa na takribani shilingi bilioni 2.63 za Tanzania, kusaidia kuimarisha maandalizi na utayari wa Tanzania katika kukabiliana na...
Mungu na shetani ni samehee maana nchi niliyopo nashindwa kuelewa.
Baada ya raisi trump kukataa ndege yake na kupewa ile ndenge na qatar kaona kurudia yake ya zamani.
Tuje kwenye mada kuhusu...
Tanzania ni yetu, hakuna mtu kutoka nje atakuja kuijenga tanzania tunayoitaka bali ni sisi wenyewe.
Hayari patrce lumumba wa DRC Congo aliwahi kusema "...bila haki hakuna uhuru, na bila uhuru...
Mnamo tarehe 12 nilifanya malipo ya kuhuisha (renew) leseni yangu ya taaluma ili niweze kuendelea kufanya kazi kisheria kupitia mfumo mpya.
Nilitengeneza Control Number kupitia mfumo huo na...
The alleged head of a fake agency linked to Nigeria’s presidency has been arrested after weeks in hiding. He is accused of using forged documents to establish the agency, open bank accounts and...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni BRELA leo tarehe 13 Julai, 2026 imetunukiwa tuzo ya kuwa Taasisi Bora kwa kuwezesha biashara kwenye Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam...
Masikini wengi wakiwaongelea vibaya matajiri uwa wanapata auheni ya kisaikolojia hii ni ngumu kumeza ndio maana weng waliofanikiwa wanaongozwa kusemwa vibaya sana
Nimeamua kuanzisha uzi huu baada ya kufikiria muda mrefu nikijiuriza je kua masikini ni uvivu au ni mambo ya kiroho?
Je "kuwa tajiri ni upambanaji au ni mambo ya kiroho maana kuna matajiri...