Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza. Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa...
4 Reactions
64 Replies
889 Views
Baraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza Uamuzi wa Baraza hilo...
15 Reactions
114 Replies
4K Views
  • Redirect
Utetezi kwamba amevutia watu wengi hasa vijana kushiriki katika dini kikamilifu hauna mashiko. Utetezi pia kwamba kila mtu ana madhambi kwa hiyo asihukumiwe sio sawa, kama kuna ushahidi alitishia...
3 Reactions
– Replies
– Views
Mpo poa wadau? Hebu tusome hiki kisa nawapa hapa. Mnamo Septemba 1988, Julie Ward, raia mwanamke wa Uingereza mwenye umri wa miaka 28, ambaye alikuwa mpiga picha wa wanyamapori na msaidizi wa...
9 Reactions
21 Replies
427 Views
https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=bz4jU76WkZBGn5If Bado ni kiwingu kwa Tanzania juu yakutopigwa redioni na kwenye TV za Tanzania Ngoma za CIVILIAN-COIN bila sababu yoyote ile. Tangu aachie Ngoma ya...
5 Reactions
12 Replies
320 Views
User interface si rafiki, errors kibao wakati wakutuma taarifa na hazieleweki, ukienda kuangalia manual huzikuti hizo errors, ama ukifungua manual unakutana na kitu ambacho ni tofauti kabisa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe. Paul Makonda, ameipongeza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili - MOI kwa kuanzisha kambi maalum ya...
1 Reactions
1 Replies
92 Views
Mmekuwa mkitutaarifu kutoa taarifa kwenu kila tunapopokea message za utapeli kupitia namba yenu 15040. Nimekuwa nikiwatumia namba hizo za utapeli nami kuweka kumbukumbu. Tarehe 11 Apr 2025...
1 Reactions
10 Replies
576 Views
Katibu mkuu wa kanisa Anglikana Tanzania George Otieno amemtangaza mch Ezron Yuba kuwa askofu mteule wa Dayosisi Teule ya Kahama. Mchungaji Yuba ametangazwa baada ya uchaguzi uliofanyika Julai...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
  • Redirect
Hii habari nimeiona mwananchi chap wakafuta
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakazi wa Mtaa wa Magaka, Kata ya Kahama – Ilemela, wanaomba mamlaka husika kuangalia upya ukubwa wa mtaa huo kutokana na changamoto zinazotokana na eneo kuwa kubwa huku likiongozwa na Mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Kuna mada hapa niliweka kuhusu kama mbinu anazopewa CCM na serikali zinatoka uganda. Sasa uganda nao kauli zao wanatafuta njia za kuongea nao ili yaishe.
1 Reactions
0 Replies
49 Views
Motel Agip iliyopo Posta jijini Dar es Salaam ilifungwa rasmi tarehe 18 Desemba 1998 kutokana na mgogoro mkubwa wa kimkataba wa upangaji na ukodishaji kati ya uongozi wa hoteli hiyo na mmiliki wa...
5 Reactions
23 Replies
531 Views
Anonymous
Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa...
0 Reactions
3 Replies
191 Views
Kwa muda mrefu, hoja ya maridhiano imeendelea kujitokeza katika mijadala ya kisiasa nchini. Ni ajenda ambayo imehubiriwa kwa nyakati tofauti na wadau mbalimbali wanaoamini kuwa, katika maeneo...
2 Reactions
6 Replies
122 Views
Chooni ndio eneo pekee akili inakuwa active sana. Usichulie poa idea unayoipata ukiwa toilet ifanyie kazi na effect yake utaiona.
1 Reactions
9 Replies
201 Views
Nakumbuka nilikariri hadi matarehe ya vita zao lakini hadi sasa najuta nilipoteza sana muda. Muda huo heri ningejifunzaga hata kupalilia matuta ya kunipa chakula Muda huo heri ningejifunzaga hata...
9 Reactions
26 Replies
295 Views
Aloo kuna mitingo mingi yenye kuleta stimu lakini sigara haina faida yeyote, hupati stimu yeyeto zaidi ya kuujaza moshi kwenye mapafu tu. Alafu ilivyo na uraibu mbaya yani ukiamka asubuhi tu...
5 Reactions
14 Replies
660 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…