Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
YAH: MALALAMIKO KUHUSU CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA TRENI ZA DAR ES SALAAM – KIGOMA (ORDINARY NA DELUXE) Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu changamoto zinazoendelea kujitokeza katika huduma...
1 Reactions
0 Replies
99 Views
Anonymous
Wananchi wa Kijiji cha Businde, Wilaya ya Kyerwa, wanaomba ufafanuzi kuhusu hatua zilizochukuliwa dhidi ya viongozi na watu waliotajwa kuhusika na ukataji miti na uchomaji mkaa kinyume cha sheria...
1 Reactions
0 Replies
60 Views
Anonymous
Wananchi wanaotegemea magari ya Intel yanayopita Morombo wanakumbana na changamoto kubwa nyakati za jioni kuanzia saa 12. Magari mengi hukataa kuendelea na safari hadi Intel na huishia kupakia...
0 Reactions
1 Replies
67 Views
Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala...
16 Reactions
78 Replies
2K Views
Kinapatikana wapi ? 1. Wakati unapojiandaa kimawazo (me / ke ) hapo unakuwa umeandaa "raw material" malighafi 2. Unapopiga hatua kwenda kwenye miadi -unachakata malighafi. 3.Mnapoanza...
2 Reactions
4 Replies
111 Views
Baada ya kutumia bangi kwa kipindi cha miaka 29, mwanaume mmoja ametoa ushuhuda mbele ya Mtume Boniface Mwamposa katika Mkutano wake mkoani Morogoro akieleza jinsi alivyokuwa ametumbukia kwenye...
1 Reactions
1 Replies
78 Views
Habari za jion wakuu Kwanza kabisa Mimi ni mkazi wa mafinga ila kwa sasa Niko kwenye gar naelekea dar ila sjawai fika kabla i Hii ndo mara yangu ya kwanza kuenda Dar kwa hiyo naombeni mwongozo
8 Reactions
110 Replies
2K Views
Katika dunia ya leo, Ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP) umejidhihirisha kuwa nguzo muhimu katika kuleta mageuzi ya kiuchumi, hasa kwenye sekta ya kilimo. Nchi kama Kenya kupitia...
4 Reactions
15 Replies
262 Views
Tanzania ni nchi kubwa , na yenye Jamii nyingi za asili mbalimbali, Lakini kiuhalisia kutokana na mambo ya historia na maeneo zilizopo jamii hizo imesababisha baadhi ya jamii kuwa na uwezo mkubwa...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
JF ni uwanja wa vita Unaweza ukaandikia wapi habari ndugu zangu Majibu utakayokutana nayo unaweza kusema JF imeruhusiwa pale milembe hosp. Anyway maisha yaendelee😁
5 Reactions
10 Replies
144 Views
Maana ya Neno Uzinifu Mtu ambaye hana ndoa lakini anafanya tendo la ndoa huyo anaitwa mzinifu. Maana ya Pili Mtu ambaye ameoa au kuolewa anapofanya uzinifu anaitwa mwasherati Inawezekana watu...
3 Reactions
4 Replies
261 Views
Kuna watu wanahisi jf haiko addictive. Lahaula, hata hii ni social media platform kwa kivuli cha forum Nahisi sasa ni muda wangu kutoka, for some time... I need to recharge. My team si out🇵🇹, I...
13 Reactions
147 Replies
1K Views
  • Redirect
Awali ilisemekana sheikh WALIDI, huenda angeswalia MSIKITI WA KICHANGANI nakutoa mawili matatu, Kwa waumini, lakini hakutokea MSIKITINI. POLISI walionekana kitanda maeneo hayo ambapo inasemekana...
0 Reactions
– Replies
– Views
Napendekeza apewe cheo Cha juu zaidi (Nakinzana na nyote mnaong'ang'ania arudishwe kwenye cheo chake) Kwa nini ? Utendaji wake kiufanisi utashuka kiwango chini ya wastani (35%) kutokana na...
0 Reactions
4 Replies
152 Views
Kutoka kwa dada Mariam Mbano ______ Kumekuwepo na wimbi kubwa la watu ambao wanatumia matatizo ya wengine kuwadhalilisha, kuwatapeli ama kuwafanyia unyanyasaji. Huyu binti anaitwa Josephine David...
11 Reactions
36 Replies
535 Views
Kuna tabia ambayo imeanza kuota mizizi kwa baadhi ya mawakala wa usajili wa line za simu nchini, na ni wakati sasa wa kuikemea kwa nguvu zote. Kinachofanywa na baadhi yao sio huduma kwa mteja...
7 Reactions
22 Replies
541 Views
Shangwe na makofi vilitawala ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, pale jina la Balozi Liberata Mulamula lilipotajwa kupokea Tuzo ya Uongozi Bora wa...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…