Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari wanajukwaa!! Maisha yanazidi kuendelea huku miaka ya kuishi ikiendelea kuisha bado nipo katika tafakari nzito Juu ya ombwe la vijana kukata tamaa kabisa ya kufanikiwa kimaisha. Hali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imewahukumu kifungo cha miaka sita au faini ya shilingi Milioni 12 kila mmoja na kutaifisha madini yote baada ya kukubali makosa ya kuongoza uhalifu wa kupanga na...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari wadau..... Kama MTU anazuia midomo ya watu kuzungumza kuhusu mambo mema anayowatendea ,kwa namna yoyote anajua kwamba hana jema analowafanyia watu wake kwa hakika jambo la kuficha...
9 Reactions
39 Replies
6K Views
Dar es Salaam, inakwenda kumaliza shida ya maji kutokana na uamuzi na ubunifu wa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka(DAWASA), Injinia Cyprian Luhemeja kunuia kuleta maji kutoka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wanajamvi..niaze na kumshukuru m/mng kwa neema ya Pumzi,uhai na afya njema, inayo niwezasha leo hii kuja kwenu wajuzi.Nirudi katika mada kuu.miaka mingi sasa najiona wa aina yake kutokana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hebu Vodacom tujuzeni kulikoni tangu jana tumenunua LUKU mpaka leo asubuhi hakuna token wala neno lolote. Tumrlipia huduma mbali mbali hela mmekata lakini haifiki kunakohusika. Kwanini...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mtu anayedaiwa kumuua Mariam Charles (22), mwanakwaya wa Kanisa la AICT, Chang’ombe amekamatwa leo Jumamosi Septemba 8, 2018. Mtu huyo amekamatwa wakati ibada ya mazishi ya Mariam ikiendelea...
14 Reactions
142 Replies
40K Views
Poleni member wa JF kwa majukumu yenu. Nia ya kuandika bandiko hili jukwaani hapa ninaomba kujuzwa mambo yafuatayo kuhusu gari hii ya 2005 BMW 1 SERIES (116i) 1. Fuel consumption per kilometer 2...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sio siri Watanzania wengi sana huwa wanavipenda sana na kuvisifu vyombo vyao vya Ulinzi na Usalama,Hususan JW,TISS,FFU na hata TP. Mara nyingi utawakuta vijana wakiwa vijiweni wakiyasifu majeshi...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Elimu ni jambo njema sana. Linamfanya mtu kufungua ubongo wake kwa mapana. Hata hivyo elimu tu haitoshi linapokuja suala la uongozi. Katika qualities za uongozi bora elimu ya madegree na maPhDs...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Redirect
Mimi nilikuwa nimeajiriwa na kampuni binafsi na kwenye hifadhi ya jamii nina takribani 1,500,000 na nilikuwa nimepanga mwezi wa kumi naacha ili nikafanye biashara zangu au kilimo cha karoti lakini...
0 Reactions
Replies
Views
Anger Over Deportation of Gay Tanzanian PROTEST: Campaigners say Edson Cosmas should be allowed to stay in UK A GAY Tanzanian man facing deportation says he will be killed or tortured if he...
0 Reactions
125 Replies
18K Views
Kampeni maalumu ya kuhamasisha wanaume kupima virusi vya ukimwi inatarajiwa kuzinduliwa hapo kesho na Mkuu wa wilaya ya Iringa Mhe. Richard Kasesela, uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika katika...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Mafia kama organization nyingine kubwa za kihalifu yenye maskani yake kubwa ulaya mashariki na duniani kote wana sheria/amri ambazo kila member lazima azifuate ili kuwa member kamili nazo ni; TEN...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
kila nikipita mtaani nakutana na matangazo ya ajira hadi mishahara imewekwa mingi ni laki tatu unusu. hivi tumefikia kutafutwa kuajiriwa hadi kwenye mitaro, nguzo za umeme na makaravati. kumbe...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zetu deni limewazidi hadi uniform za jeshi la polisi wa kenya wameanza kuvaa za jeshi la polisi la china. Hivi cc twadaiwa kiac gani na hao wavchina?
0 Reactions
5 Replies
927 Views
Serikali imeajiri walimu 2160 wa shule za sekondari na kuagiza waajiriwa hao wapya kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi ndani ya wiki mbili wakiwa na vyeti halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa...
0 Reactions
96 Replies
12K Views
Naombeni maelekezo kutoka kwa yeyote anayejua mahali ilipo hospitali ya Hindu Mandali na jinsi ya kufika katika hospital hiyo kutokea Gongolamboto
1 Reactions
58 Replies
12K Views
KIASI cha sukari kilichopo nchini, kinatosheleza kwa miezi mitatu, ukiachilia mbali uwepo wa uzalishaji unaoendelea nchini. Akitoa taarifa ya hali ya sukari nchini bungeni Dodoma jana, Waziri wa...
0 Reactions
3 Replies
662 Views
Katika hali inayokumbushia kisa cha "Wasabato Masalia" kundi la kina mama Wapentekoste na watoto wao wameamia kwenye msitu huko ngara wakiziacha nyumba na familia zao katika kile wanachoamini kuwa...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Back
Top Bottom