Nina uwezo mkubwa wa kumkumbuka, mtu, au watu nilio muona kwa mara ya kwanza

chumanile

JF-Expert Member
May 20, 2018
296
327
Habari wanajamvi..niaze na kumshukuru m/mng kwa neema ya Pumzi,uhai na afya njema, inayo niwezasha leo hii kuja kwenu wajuzi.Nirudi katika mada kuu.miaka mingi sasa najiona wa aina yake kutokana na hiki nilicho nacho.

NAJIKUTA NINA UWEZO MKUBWA WA KUMKUMBUKA, MTU, AU WATU NILIO MUONA KWA MARA YA KWANZA, PINDI NITAKAPO MUONA TENA.IKITOKEA NIMEKUTANA NAWE IMA KATIKA TUKIO FULANI,MATEMBEZINI NK, ILIMRADI KUWE NA KITU AU TUKIO LITAKALO NIFANYA NIKUANGALIE KWA MARA YA PILI.

kutokana na tukio hilo itanifanya niweke picha yako katika kumbukumbu zangu.Swali langu je? uwezo huu nilikua nao nijiweke katika kategori gani?

Je kutokana na uwezo huo wa kukumbuka,haswa watu umetokana na nini?
Je? Nini nifanye kuongeza taaluma yangu?nawakilisha.
 
Back
Top Bottom