Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mnaolidharau Bara la Afrika na hadi Kuudharau Uafrika wenu endeleeni tu ila kama kuna Bara ambalo nina uhakika Mwenyezi Mungu amelibariki na amelipendelea katika mambo mengi basi ni hili letu la...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu natumaini mambo yanakwenda kama yalivyopangwa na mwenyezi Mungu. Niende kwenye point moja kwa moja, kazi niliyokuwa nafanya ile kampuni imefunga business na inarudi nchini kwao...
9 Reactions
114 Replies
14K Views
Habari, nadhani ni muda mwafaka wa TCRA kuagiza na kuelekezwa makampuni yatakayo huduma za mawasiliano ya simu pamoja na internet kuhakikisha zinatoa kuanzia 3G kila wanapotoa huduma ili...
0 Reactions
1 Replies
408 Views
  • Redirect
Wakati mwingine Dunia huwa inajirudia. Zama za nyerere naziona kwa magufuli. Ununuzi wa ndege, umeme wa stiglers Gorge, stard gage yote ni mwendelezo wa baba wa taifa. Binafsi naona miaka 10...
1 Reactions
Replies
Views
Hivi karibuni kumekuwa na mijadala kuhusiana ma utoaji mimba duniani.nini maoni yako.unakubali au la..toa sababu
1 Reactions
3 Replies
570 Views
Neville Meena ZIMWI la kukimbwiwa na Wahariri pamoja na Waandishi wake bora lazidi kulitesa Gazeti la Mwananchi baada ya hivi sasa Mhariri wake Mwingine ambaye pia ni Msimamizi wa dawati la...
4 Reactions
53 Replies
14K Views
HATI YA KIAPO JUU YA UJIO WA NCHIMBI JANGWANI Na Nyaronyo Kicheere Ndugu wanamabadiliko, mimi nakubaliana na wale wanaosema dk nchimbi alialikwa jangwani. nimelazimika kuingilia kati na...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Mkuu Neville Meena tunakuomba kwa bashasha zako zile zile ulizozitoa mbele ya Umma na wana Habari wakati ukisoma maazimio ya kimaamuzi juu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul C. Makonda...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Angalia Star TV, member mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja wa wageni waalikwa ndani ya jicho letu ndani ya habari. Wanazungumzia report ya CAG. Cc. Pasco
3 Reactions
12 Replies
3K Views
CHAMA CHA WAJAZA WATU MIKUTANONI LAKINI HAWAPIGI KURA DAIMA NA WALALAMISHI WA KUSHINDWA SIKU ZOTE ( CWWMHWKZ ) Nawasilisha.
10 Reactions
40 Replies
4K Views
Sakata la kigogo wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kutuhumiwa kuwadhulumu viwanja wafanyakazi wa taasisi hiyo, limechukua sura mpya baada ya Rais John Magufuli kuagiza...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Kisa cha Lucifer yule malaika aliyekuwa na mabawa yenye mlio wa kinanda uliowastajaabisha malaika wengine kiasi cha kumpa sifa lukuki.Kisa hiki kina mafundisho mengi nitawaletea kwa kirefu. Ahsante!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni muhanga wa tanesco hasa katika mji mdogo dumila. Si iman kama Siku moja wakazi wa mtaa wa point A,DUMILA Juu ,kiwanda cha makopo kama tutapata umeme. Ebu meneja njoo Dumila utufungie umeme...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa hii hospital sasa hv ni kero,yaani ukienda kutibiwa uwe umekula kabisa.yaani unaweza ukaenda SAA 3 asubuhi ukarudi SAA Moja usiku.Daktari ni mmoja tu,foleni ya wagonjwa ni kero.wahudumu majibu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Namtafuta mzee wangu. Mama na mzee waligombana kipindi mimi nazaliwa kwa hiyo mzee aliondoka na mama akakata kabisa mawasiliano naye. Ni miaka zaidi ya 25 imepita, mimi...
6 Reactions
60 Replies
9K Views
  • Redirect
Kada wa CCM Ndugu Methusela Gwajima, amemshauri Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, Mheshimiwa Edward Lowasa Kustaafu rasmi harakati zake za kisiasa na hasa siasa za majukwaa ili kulinda heshima...
2 Reactions
Replies
Views
Eti mtu anatoa takwimu za mikoa masikini zaidi(nieleweke)alafu lindi na mtwara haipo eti anashangaa mbona lindi na mtwara haipo? Anadhani hii ni mikoa masikini sana kama enzi zile walivokuwa...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuendesha gari binafsi kutoka Dar kwenda Mwanza nimeshuhudia vimbwanga na vituko vingi sana na kweli Njiani hatuko sawa.yaani gari za Serikali na za jeshi hazifuati sheria kabisa.hawajali kona...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu nasema hivi taaluma inashuka kukosa huduma ya umeme kila mwaka mimba. Kijiji cha Magubike kina umeme ila shule ambayo tunategemea kupata wataalam wa kuisaidia serikali haina umeme...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
~ Ajionea mwenyewe alipofanya ziara ya ghafla* Hali ya utolewaji wa huduma ya afya umezidi kuimarika maeneo mengi ya vijijini tofauti na hali ilivyokuwa hapo awali. Siku hizi upatikanaji wa dawa...
0 Reactions
2 Replies
580 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…