Je,utoaji mimba unaweza kuwa wa kisheria?

Je,utoaji mimba unaweza kuwa wa kisheria?

kimanganuni

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
325
Reaction score
172
Hivi karibuni kumekuwa na mijadala kuhusiana ma utoaji mimba duniani.nini maoni yako.unakubali au la..toa sababu
 
Kila nchi na taratibu zake...
China walipita hiyo sheria ya kutoa mimba sababu hawakutaka ongezeko la watu
Pia kuna nchi zimepitisha sheria ya kutoa mimba endapo italeta au kupelekea kifo au ugonjwa kwa mama mjamzito kwahiyo anaruhusiwa kuitoa
Sasa kwa Mimi binafsi napinga sana utoaji mimba
 
Labda kama daktari ameona ni lazima ili kuokoa maisha ya mama . Jua tu maisha yanaanza punde sperm inapoungana na yai la mwanamke
 
Back
Top Bottom