REA AWAMU YA TATU DUMILA - MOROGORO ITAPITIWA?

mzee wa magumashi

Senior Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
137
Reaction score
44
Mimi ni muhanga wa tanesco hasa katika mji mdogo dumila. Si iman kama Siku moja wakazi wa mtaa wa point A,DUMILA Juu ,kiwanda cha makopo kama tutapata umeme.
Ebu meneja njoo Dumila utufungie umeme tunakwama shughuri zetu.
Yaan umeme upo Dumila secondar wakaz hatunufaiki na huu umeme

Chonde chonde njoon point A mtufungie umeme
 
Hii ungeipeleka kwenye thread ya Tanesco ingejibiwa haraka sana kuliko huku ulipoileta
 
Mimi ni muhanga wa tanesco hasa katika mji mdogo dumila. Si iman kama Siku moja wakazi wa mtaa wa point A,DUMILA Juu ,kiwanda cha makopo kama tutapata umeme.
Ebu meneja njoo Dumila utufungie umeme tunakwama shughuri zetu.
Yaan umeme upo Dumila secondar wakaz hatunufaiki na huu umeme

Chonde chonde njoon point A mtufungie umeme
Polen mkuu,,Dumila mm ndo nyumban
 
Bora nyie kule geita vijijini ndipo rea ilizinduliwa lakini hadi Leo Hakuna kinachoendelea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom