Donkey
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 1,499
- 1,585
Kuendesha gari binafsi kutoka Dar kwenda Mwanza nimeshuhudia vimbwanga na vituko vingi sana na kweli Njiani hatuko sawa.yaani gari za Serikali na za jeshi hazifuati sheria kabisa.hawajali kona wala mlima wao ni kuovertake tu. Hata kwenye 50 ni mbio tu.nimekoswa kugoganga uso kwa uso na gari ya serikali iliyokuwa ina overtake roli mlimani katika barabara ya igunga kwenda Nzega.jamani chukueni tahadhari sana barabarani