Namtafuta baba yangu mzazi mzee Jovin Machumu


mkata-mkaa

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
288
Likes
162
Points
60
Age
49
mkata-mkaa

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
288 162 60
Wakuu habari zenu,

Namtafuta mzee wangu. Mama na mzee waligombana kipindi mimi nazaliwa kwa hiyo mzee aliondoka na mama akakata kabisa mawasiliano naye.

Ni miaka zaidi ya 25 imepita, mimi simfahamu mzee hata kwa picha, baada ya mahojiano na mama akanipa maelezo yafuatayo
- Jina lake ni Jovin Machumu
-Mara ya mwisho mama alisikia anaishi Shinyanga na alikuwa anafanya kazi Tanzania National Miling
-kabila lake ni Muhaya
- Hawafahamu kabisa ndugu wa mzee

Kwa yeyote ambaye anamjua mtu ambaye alifanya kazi national milling Shinyanga naomba aniunganishe. Sina maelezo mengine zaidi ya hayo kwa hiyo naomba msaada wenu wakuu. Mwenye nia ya kunisaidia anitumie meseji pm.


update :

bado sijafanikiwa
 
Job K

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
8,286
Likes
4,436
Points
280
Job K

Job K

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
8,286 4,436 280
Kwa hiyo ya kufanya kazi national milling ilikuwa lini kwa mara mwisho? Maana NMC zilikufa siku nyingi sana. Yale ma-godown pale SHY huwa yanakodishwa kwa watu kwa ajili ya kutunzia mizigo, sasa sidhani kama utapata mtu wa kukuelekeza pale!
 
BabM

BabM

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
1,148
Likes
720
Points
280
BabM

BabM

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
1,148 720 280
Jaribu kuulizia mtu anayejua waliokuwa wafanyakazi wa NMc shinyanga ndio pa kuanzia
 
mkata-mkaa

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
288
Likes
162
Points
60
Age
49
mkata-mkaa

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
288 162 60
Kwa hiyo ya kufanya kazi national milling ilikuwa lini kwa mara mwisho? Maana NMC zilikufa siku nyingi sana. Yale ma-godown pale SHY huwa yanakodishwa kwa watu kwa ajili ya kutunzia mizigo, sasa sidhani kama utapata mtu wa kukuelekeza pale!
Mkuu apo nashindwa kujua mara mwisho kufanya kazi ili kuwa ili kuwa mwaka gan mana ata mama hajui
 
M

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Messages
2,506
Likes
2,448
Points
280
M

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
Joined May 24, 2015
2,506 2,448 280
Madam unajua alikuwa anafanya kazi "neshenomilingi" natumaini utampata kwa urahisi, watafuta wazee waliowahi fanya kazi hapo utampata tu.
 
A

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Messages
4,791
Likes
913
Points
280
A

August

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2007
4,791 913 280
Boss nashukuru kwa kuumulizia mzee wako Nami nitajaribu kusaidia kuulizia kwa wafanyakazi wa zamani wa national milling na wagita?
 
Chachu Ombara

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Messages
5,303
Likes
5,683
Points
280
Chachu Ombara

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2012
5,303 5,683 280
Mimi nawajua Machumu wa Bukoba, sina uhakika kama ni jina la ukoo au? Unaweza kupata pa kuanzia.
 
mkata-mkaa

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
288
Likes
162
Points
60
Age
49
mkata-mkaa

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
288 162 60
Boss nashukuru kwa kuumulizia mzee wako Nami nitajaribu kusaidia kuulizia kwa wafanyakazi wa zamani wa national milling na wagita?
Asante mkuu
 
abd-rashid nkando

abd-rashid nkando

Senior Member
Joined
Apr 27, 2013
Messages
163
Likes
126
Points
60
Age
28
abd-rashid nkando

abd-rashid nkando

Senior Member
Joined Apr 27, 2013
163 126 60
Kiongoz wew unaitwa nani
 
Ngongo

Ngongo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2008
Messages
12,660
Likes
4,802
Points
280
Ngongo

Ngongo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2008
12,660 4,802 280
Kama alikuzila na hakukujali mpaka umekuwa mtu mzima kuna haja gani ya kumtafuta
Mkuu kuna masuala ya matambiko mambo ukiona hayaendi vizuri unaambiwa nenda kwa wazee wakuteeme mate,sasa pata picha Mzee wako humjui,Ndugu zake huwajui hilo tambiko litawezekana kweli.
 
mkata-mkaa

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
288
Likes
162
Points
60
Age
49
mkata-mkaa

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
288 162 60
Vipi huna hata picha yake,nadhani itasaidia pia......si vibaya ukisema Mama yako na huyo mzee walikutana mkoa gani........???
Sina picha mkuu..walikutana Dar
 
mkata-mkaa

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
288
Likes
162
Points
60
Age
49
mkata-mkaa

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2016
288 162 60
Mkuu, wewe msaidie kumpata mzazi wake hayo mengine unayouliza ni yakwake yeye na baba yake.
Kwanza nataka nijue ilo ndo muimu kwangu
 

Forum statistics

Threads 1,272,642
Members 490,095
Posts 30,455,814