Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mujibu wa takwimu za afya duniani, haya ndiyo magonjwa/hali zinazoongoza kusababisha vifo vingi zaidi: Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (yanaongoza kwa mbali) Ugonjwa wa moyo (ischaemic...
2 Reactions
1 Replies
110 Views
Kichwa kina jieleza Wakati wa ukuaji au hata ujanani unaweza kugundua una kipaji fulani" ambacho unadhani kama isingekuwa sababu fulani kupewa sapoti n.k ungefika mbali ila mazingira...
5 Reactions
30 Replies
336 Views
16/7/2026 Mtaalamu wa masuala ya usajili wa visa vya saratani na kanzi data kutoka African Cancer Registry Network (AFCRN) Prof. Sani Malami amesema maboresho makubwa yaliyofanywa na Taasisi ya...
1 Reactions
2 Replies
109 Views
Nianze kwa ku declare interest. Nimezaliwa sio tu kwenye familia na ukoo bali kabila ninalo toka watu wake wote ni Waislamu. Ni kabila lipo njia ya Back City.. Kabila la akina " KINYOGOLI" na "...
15 Reactions
74 Replies
877 Views
  • Redirect
Shule ya msingi KIMANDAFU iko wilaya ya Arumeru Halmashauri ya wilaya ya Meru mkoa wa Arusha. Mwalimu tajwa hapo juu ni mwl mkuu msaidizi na mwl wa Hisabati darasa la 5, siku ya Alhamisi saa 2...
3 Reactions
– Replies
– Views
Shule ya msingi Kimandafu iko Halmashauri ya wilaya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha. Mwalimu moja wa shule hiyo aitwaye Stella Gunda jana asubuhi mida ya saa 2 alimfukuza darasani...
3 Reactions
30 Replies
577 Views
Baada ya Kitoilet paper cha Habib Mchange, naye akiwa ndiye mhariri wa kitoilet hicho kutoa kashfa kumtuhumu Nilesh mmiliki wa state oil kuwa alitoa pesa kuifadhili CHADEMA, nileshi alitoka...
5 Reactions
26 Replies
565 Views
wakuu mmeamkaje, mimi niko salama. Mods naomba mnisaidie kurekebisha kichwa cha habari kama mada haitaendana na nitakachoandika. Majuzi mishale ya saa sita usiku ilitokea ajali mbaya sana ambapo...
5 Reactions
9 Replies
442 Views
Kila mmoja wetu hupitia nyakati ngumu. Wapo wanaopoteza wapendwa wao, hukatishwa tamaa, husalitiwa, hukosa kazi, hupitia matatizo ya kifamilia au ya kifedha. Wakati huo, kila mtu hutafuta njia...
8 Reactions
39 Replies
634 Views
  • Redirect
ENEO LINAUZWA Ukubwa: Ekari 5 Mahali: Kigamboni Kisiwani Linagusa barabara kuu 📍 Eneo hili lipo karibu na Daraja la Nyerere. KUMBUKA: Kiwanja hiki kipo katika eneo la kimkakati karibu na...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mkuu wa Idara ya Masoko na Uwezeshaji wa Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (katikati) akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wa Mashindano ya Golf ya Vodacom Corporate Masters 2026...
1 Reactions
2 Replies
88 Views
Natoa angalizo kwa wale wa unashinda JF full-time Huu ni kama ushauri tu kwamba hii mada inakuhusu isome yote ili uanze leo kupigana na hiyo tabia isiyopendeza ya kufatilia ni nani anaingia...
21 Reactions
180 Replies
2K Views
Ndugu zangu, ni wapi alipo Rais wetu wa awamu ya nne. Mh. Jakaya Mrisho Kikwete? Hakuna kipindi ambacho wapinzani waliinjoi kama kipindi cha Kikwete. Walizoa wabunge wengi sana madiwani na...
4 Reactions
7 Replies
234 Views
Ni ngumu sana wazungu kufanya safari yoyote bila kua na camera au vifaa vyenye camera na pia hua wanapenda sana kupiga picha,video na hata sauti ya vitu ambavyo sisi wa afrika weusi tunaona...
2 Reactions
3 Replies
142 Views
Naona kama chuki inafanywa kwa waafrika weusi tu nasio waafrika waarabu
1 Reactions
1 Replies
76 Views
Kwa hiyo yeye amewa import kutoka Pacific Ocean kuja kuwapanga kwenye meza Survey barabarani ? Eeeeeh ? Awauze basi huko huko California apate dollar! Salmon, samaki namba moja mwenye nutrients...
3 Reactions
4 Replies
160 Views
Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa. Na utashangaa...
5 Reactions
8 Replies
233 Views
Utafiti ni mojawapo ya vyanzo muhimu vya taarifa, lakini si kila utafiti unaochapishwa ni sahihi au unawakilisha ukweli. Kabla ya kuamini hitimisho la utafiti wowote, hakikisha umetathminiwa kwa...
2 Reactions
2 Replies
95 Views
Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Josephine David anadaiwa kuwa mwathirika wa mtego wa ajira bandia uliolenga kumshawishi kufanya vitendo visivyohusiana na kazi aliyoahidiwa, kabla ya kuchafuliwa...
4 Reactions
12 Replies
185 Views
Kila nafsi iliyoonja uhai lazima itafikwa na umauti. Sisi sote tutakufa. Hakuna mtu atakayeondoka hapa duniani akiwa hai. Hii ni lazima na sio hitari. Sio mtoto sio mkubwa. Sio Kijana sio mzee...
3 Reactions
5 Replies
130 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…