AU ni clabu ya wahuni ndio maana wapo kuona ya wengine ila sio yao.
Urusi imefikia hatua kutumia mitandao na madalali kudanganya ajira na fursa na ukifika kule unageuzwa kuwa chambo front...
Amani ya Bwana iwe juu yenu. Leo katika kusoma soma biblia nimekutana na maneno hayo hapo juu yakanitatiza kidogo. Nikutoka kitabu cha Luka 18:18-19.
Natamani kujua kuwa Yesu alijipima kwenye...
Kero yangu ni kuna kampuni inauza viwanja inaitwa Landmatrix Ltd walikuja ofisini kwetu na kutueleza kuwa wanauza viwanja vilivyopimwa maeneo mbalimbali mnamo mwaka 2024 kwa wakati huo walikuwa na...
Katika nchi ambayo imepitia mateso na misuko suko hii nchi nayo hipo.Urusi alisha ibikiri,magaidi washaitanua na marekani kwenda kwa mparange mwisho wakachoka wakaondoka baada ya kuwepo mda mrefu...
Mh. Waziri Mkuu wa Tanzania,
Waziri wa Ujenzi,
Waziri wa Ardhi husika,
Naomba niwaombe wananchi wa Kipunguni walipwe fidia zao, jamani.
Mmeondoa baadhi ya watu, lakini sehemu zilizobaki sasa...
Prof. Raphael Tihelwa Chibunda ambaye ni Mkuu wa chuo cha SUA amesikika kwenye podcast ya Omari Kashera akisema kuwa siyo rahisi kupata degree ya cho hicho.
Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday...
Serikali imeeleza kuwa imepanga kutumia zaidi ya shilingi trilioni sita kujenga kipande cha sita cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Tabora hadi Kigoma.
Akizungumza katika Kipindi cha Jambo Wikendi...
Mwaka 2017 wanafunzi 32 wa shule ya msingi walifariki katika ajali ya basi la shule huko Arusha, ajali hii iliwashitua watu wengi ndani na nje ya nchi.
Kutokana na mshituko huo CCM harakaharaka...
Katika kundi la wanawake tasnia ya filamu huyu alitukosha sana vijana kwa zile ngumi zake na mapigano.
Embu fikiria umemfahamu mpaka leo ila utamu umebaki pale pale.
Mimi ni mzanzibar na mtanzania kadhaalika.... Leo nimeona tena maovu makubwa sana kwa eneo la Malindi zanzibar... Askari wamekua Hawna ubinaadamu wala imani ktk kazi zao..
Askari amenikamata...
Hawa Sungusungu/Wagambo (Nyungu) mbona wana roho mbaya hivi? Wakifanikiwa kuwa Maaskari kamili si watavunja watu viuno.
Wakuu wa jukwaa, kwanza salamu.
Leo nataka niwape makavu laivu Hawa...
Katika ulimwengu wa leo, watu wengi wamewekeza zaidi kwenye kuonekana kuliko kuwa. Tumekuwa na utamaduni wa kutafuta sifa kabla ya mafanikio, kutafuta pongezi kabla ya matokeo, na kutafuta...
Ukipata muda wa kufuatilia mijadala mbalimbali humu ndani, unaweza kujifunza mambo mengi yanayohusu biashara, sheria, kilimo, teknolojia, afya, dini, historia na masuala mengi ya maisha. Mara...
Wapendwa habari ya majukumu ya kulijenga Taifa letu la Tanzania. MUNGU ni mwema kwetu,hakika anatupigania usiku na mchana,,
Maada:
Nimekaa nikijiuliza, kwanini nikianza kupata pesa mfulululizo...
Kitabu cha kwanza kwenye biblia ya wakristo kisiposomwa kwa jicho Pevu kinaleta tafsiri mbaya za kiteolojia.
Nyoka alichomwambia Eva iikuwa uongo? No. No .No. Read the chapters in context and...
Zamani kidogo kabla sijajiunga JamiiForums nilikua natembelea sana jukwaa hili sasa kuna baadhi ya memba kadhaa niliokua nasoma comment zao lakini sasa siwaoni miongoni mwao ni
mkwepu jr
Huyu...
Ninakumbuka jinsi hiyo habari ilivyopa vya vyombo vya habari mwaka 2018.
Peter Zakaria, mfanyabiashara wa mabasi na vituo vya mafuta, akiwa kwenye moja ya Sheli zake, alivamiwa na watu waliokuwa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai...