Vodacom Postpaid Kuna Kautapeli

Vodacom Postpaid Kuna Kautapeli

EricMan

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
3,739
Reaction score
6,598
Leo ni siku ya pili Internet yao inaandika "sign in to network" mara "network not available " toka jana wananambia suala lako linashughulikiwa ndan ya masaa 6.

katika masaa 48 je kuna masaa 6 mangapi?

Imagine unalipia 115k kwa mwezi alafu siku mbili huna internet huu si Wizi?

Nikipata mwanasheria Mzuri awa jamaa nawapeleka mahakamani
 

Attachments

  • IMG_20250131_212250_791.jpg
    IMG_20250131_212250_791.jpg
    64.5 KB · Views: 41
Washezni hawa wameniunganisha na huduma sijawahi hata kuitumia halafu leo wanasema wananidai laki 7
 
Back
Top Bottom