Mimi nilikuwa sijui kama Haika alikuwa mke wa Mzee Magesa ila baada ya huyu ndugu kupost mtandaoni ndo nikajua. Namjua Haika kama mfanyabiashara mkubwa jijini Dar Es Salaam. Kwa maelezo...
Tangu jukwaa la STORIES OF CHANGES lianzishwe mwaka 2021 na project zake za kuandaa shindano kila mwaka nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana.
Mwaka 2025 na Mwaka 2026 hakujafanyika project hiyo...
Ukitaka kumtumia mama yako hela fanya kama ifuatavyo: πππ
1. Kwanza mtumie hela mapema iwezekanavyo like saa kumi na 2 hivi kasoro asubuhi.
KWANINI? : AIANZE SIKU YAKE VIZURI KWA KUPOKEA...
Mkuu wa Wilaya ya Tabora, Mhe. Upendo Wella (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Nishati ya Puma Tanzania, Bi. Fatma Abdalla (kulia), wakipanda na kumwagilia mti katika Shule ya Msingi...
Wiki iliyopita ukifungua mitandao utakuta kila ukurasa wanaongelea yale yale
Katoro.,Show za Harmonize na Diamond,Mwijaku kasema nini,Dotto Magari kajibu nini.Halafu media zote zina-copy na...
Nipo kwenye mchakato wa kugawa pesa katika miradi midogo midogo, nione namna ya kufikia uchumi wa Kati Kwa makusanyo ya tsh 100,000/= Kwa siku na kuzidi, hii miradi ambayo nataka mtaji wake...
Hili nimeshindwa kukaa kimya vijiji vingi Tanzania vina ushirikina HUSDA nahii Kupeleke kulogana Yani ukipata hela kidogo
Wanakuloga unaludi nyuma vijana hapa mtaani kila anaetoka kwenda mjini...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ametoa onyo kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Songea hadi Masasi kupitia Tunduru kilovoti 220 na kumtaka Mkandarasi...
Kama kichwa kinavyojieleza watu wa Mungu tuzidi kumuinua kwenye maombi mchungaji AMIELI KATEKELA mara kwa mara amekuwa akiwekewa sumu na hata kutumiwa watu wenye silaha za moto bunduki kutafuta...
Linaweza kuonekana kama jambo la kushangaza, lakini ukiangalia kwa makini utagundua kuna ukweli mkubwa ndani yake.
Tumefika kipindi ambacho watu wengi wana uwezo, nia na utayari wa kuwainua...
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ameeleza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan umeufungua Mkoa wa Kigoma kwa kufanya ufikike kwa urahisi, kupunguza...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya (@mmuyakaspar ), ametoa wito kwa Wananchi nchini kuacha kuweka Lamination kwenye hati za umiliki wa Ardhi, akieleza kuwa...
Nipo hapa wife anachambua majani ya maboga Kwa ajiri ya mrenda (nimemuamru aniandalie Leo)
Nimemuuliza vipi wanauzaje ka fungu kama haka? Naye kanijibu Tsh300/= nimehesabu majani yapo 8-10 TU Kwa...
Dunia imekuwa kama jela kwa wale wenye ufahamu wa kina. Wenye akili na macho ya ndani huona udanganyifu, uovu, na unafiki unaotawala jamii.
Kwao, maisha si mchezo wa furaha bali ni mzigo wa...
Kwa sasa, takribani miaka mitatu imepita tangu Serikali ilipotangaza kuleta mabehewa sita ya ghorofa ya SGR (June 2023), ambayo kwa pamoja yalielezwa kuwa na uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 250...
Kero:Mtaa magaka,kata ya kahama-ilemela.Mtaa wa magaka ni mkubwa lakini unaongozwa na mwenyekiti mmoja kutokana ukubwa wa eneo baadhi ya huduma muhimu zinakuwa mbali na makazi.
Kuna changamoto ya...
Benki ya NMB (@nmbtanzania), imewekeza takribani Dola za Marekani Milioni 100, sawa na Shilingi Bilioni 224, katika mkopo wa pamoja wenye thamani ya Dola Milioni 500 kwa ajili ya Mgodi wa Dhahabu...
Habari hii inaonyesha changamoto inayowakabili baadhi ya wafanyabiashara katika Soko la Machinga Complex Dodoma, ambapo wanadai kuwa biashara zimepungua kutokana na ukosefu wa wateja na mzunguko...