Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna dini za ajabu na za hovyo sana. Kila siku kutisha watu kuwa duniani hapa ni sehemu mbaya ovu,haifai,ni makao ya shetani. Na kuwa wameandaliwa makao eti peponi sijui firdaus. Ila wapo hapa...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Anonymous (11a1)
Habari, Naomba kutumia nafasi hii kuwasilisha kero kuhusu adha wanayopitia wakazi wa Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama. Kwa muda sasa, wakazi tumekuwa tukivamiwa na kusimamishwa mara kwa mara...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Maadui 6 wa MWANAUME. 1. Kutumia pesa kabla ya kuzitengeneza. 2. Kutaka kuonekana tajiri kuliko kuwa tajiri. 3. Kuwekeza kwenye starehe kuliko kujijenga. 4. Kutafuta raha za muda mfupi. 5...
8 Reactions
23 Replies
353 Views
Mzee Thomas Filipi Silayo (75), mkazi wa Kijiji cha Mbomai Juu, Tarakea wilayani Rombo, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa mapanga wakati wa kikao cha kifamilia kilichokuwa kikijadili...
2 Reactions
6 Replies
320 Views
Mabadiliko ya Tanzania kuelekea magari ya nishati safi yamepata kasi mpya baada ya kuwasili kwa magari ya kwanza ya umeme aina ya pickup, yanayoendeshwa kwa ushirikiano wa teknolojia na usambazaji...
2 Reactions
8 Replies
673 Views
Kijana kumuita baba yake dady,mtu na shangazi yake kuitana anti,mtu na mjomba wake kuitana anko tena ukiona hao watu wana mazea makubwa nawewe anza kutia shaka( ANKO,ANTI,DADY
2 Reactions
1 Replies
58 Views
Marko 1:8 Mimi niliwabatiza kwa maji; bali yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu. Waumini wengi wana amini kuokoka ni kutamka maneno kupitia labda mchungaji ndio umempokea Yesu kristo au...
3 Reactions
2 Replies
204 Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Mariam Chaurembo, amesema ameunda timu huru ya wataalamu kuchunguza tuhuma za ukiukaji wa...
0 Reactions
2 Replies
218 Views
Alfajiri ya leo tarehe 20.10.2018 imepokelewa na watu wengi kwa furaha kubwa baada ya kuenea taarifa za kupatikana salama mfanyabiashara kijana bilionea Mohammed Dewji... Ni furaha kwa familia...
227 Reactions
474 Replies
80K Views
*Madhara ya Kula Ugolo 1. Mfumo wa Chakula Kichefuchefu na kutapika Maumivu ya tumbo na kuchoma koo Kuharisha Vidonda vya tumbo 2. Ubongo na Neva Kizunguzungu na kupungua fahamu Kusahau na...
5 Reactions
73 Replies
759 Views
guest-1787677255
Karibuni kwenye Marathon mfaidi. Wazee wa VAR kazi kwenu.
3 Reactions
9 Replies
150 Views
Mfano wilaya kubwa ya huko Ruvuma, Lindi, Mneya, n.k. igeuzwe iwe ya kulima mahindi na maharage tu Kuna uwezekano watu wakapata uhakika wa mlo moja kila siku ?
0 Reactions
2 Replies
80 Views
Kero ya Bomba la Maji kuvuja Oleiron Mwanama Reli Arusha tangu March haijafanyiwa kazi. AUWSA wanapoteza Maji na mapato lakini hakuna anayejali. Barabara imaharibiwa vibaya na Maji hayo,TARURA...
0 Reactions
1 Replies
53 Views
Kuna jambo ambalo watu wengi hawalizungumzi. Ukikataa kutoa hela, mara moja unaambiwa ni mchoyo, bahili, una roho mbaya, au "Mbinafsi." Lakini ukweli ni kwamba, si kila anayekataa kusaidia ana...
3 Reactions
7 Replies
171 Views
Bila shaka umewahi kukutana na video hii iliyodaiwa kuwa Rais Trump alikuwa akisimulia jinsi Rais wa Ufaransa alipigwa na mkewe. Lakini je, uhalisia ni upi? Video hiyo inapotosha kwa kukatwa...
2 Reactions
6 Replies
166 Views
Wamiliki wa magari wakisubiri kuongia Ofisi ya Usalama Barabarani Kituo cha Polisi Kawe. *** Serikali, kupitia Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, ilitoa siku 21 kwa wamiliki wa vyombo vya...
0 Reactions
2 Replies
329 Views
Wakuu,, Habarini Nimejaribu kuishi kwa kutumia mifumo lakini naona mambo hayawi! Mpaka sasa kipato changu cha mwezi ni 700k tu!! Kwa majukumu niliyo nayo hii hela inaishia tu kula si wakujenga...
16 Reactions
30 Replies
390 Views
Wakuu kama mnavyoiona title hapo, imenifanya nije tupeana mawazo humu, maana ilivyonitokea badala ya kufurahi nikawa na hudhuni kwanza. Jana nilitoka mtaani kumchukua kijana wangu, first born...
3 Reactions
4 Replies
139 Views
Biashara ya Huduma za UlinziBiashara ya huduma za ulinzi ni moja yuduma za UlinziBiashara ya huduma za ulinzi ni moja ya sekta zinazokua kwa kasi kutokana na ongezeko la mahitaji ya kulinda watu...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
https://youtu.be/5qPXvYnGa4w?si=vT1GQV7tIUwYTst_
1 Reactions
0 Replies
36 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…