Serikali ya Ghana imekubali pendekezo la kuongeza muda wa muhula wa urais kutoka miaka minne hadi mitano, Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Sheria wa nchi hiyo Dr. Dominic Akuritinga Ayine
Rais John Dramani Mahama aliunda kamati mwaka 2025 kupitia upya Katiba ya mwaka 1992 na kutoa mapendekezo mbalimbali, ambapo baadhi yake yamekubaliwa na serikali.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Sheria, Dominic Ayine, amesema pia muda wa Bunge utaongezwa ili uendane na muhula mpya wa rais. Serikali imeeleza kuwa kuongeza muda wa muhula wa urais kutazipa tawala muda wa kutosha kutekeleza mipango yao ya maendeleo.
Serikali pia imekubali kimsingi pendekezo la kupunguza umri wa chini wa kugombea urais. Hata hivyo, badala ya miaka 30 iliyopendekezwa na kamati, serikali imependekeza umri huo uwe miaka 35. Aidha, serikali imekubali uchaguzi wa rais ufanyike katika wiki ya kwanza ya mwezi Novemba ili kuwe na muda wa kutosha kati ya uchaguzi na kuapishwa kwa rais, kunakofanyika Januari 7.
Kamati nyingine itaundwa kuandaa miswada miwili ya marekebisho ya Katiba, ambayo inatarajiwa kukamilika ifikapo Oktoba 2026.
Muswada unaohusu kuongeza muda wa mihula ya uongozi utalazimika kupitia hatua mbalimbali kabla ya kupelekwa kwenye kura ya maoni ya kitaifa mwaka 2027. Ili kura hiyo ya maoni ipitishwe, angalau asilimia 40 ya wapiga kura waliosajiliwa lazima washiriki, na kati yao angalau asilimia 75 wapige kura ya kuunga mkono marekebisho hayo.
============
Ghana's government on Thursday accepted a proposal to extend the presidential term to five years and lower the minimum age for candidates to 35.
Ghana, one of Africa's leading gold and cocoa producers, has maintained a stable democratic system since 1992.
President John Dramani Mahama established a committee last year to review the constitution. The committee submitted its final report to him on Thursday.
"The government has accepted the recommendation to extend the term of office of the president from four years to five years," Justice Minister Dominic Ayine told journalists.
The committee said parliament's term should also be increased to five years to align with the presidency.
Although the committee recommended lowering the minimum age for presidential candidates to 30, Ayine said the government would instead adopt 35.
The Constitution Review Committee said a four-year presidential cycle can leave an administration with "a little over two years" of effective governing time, as the first six months can be taken up by appointments and the final year by elections.
It said a five-year term could also "strengthen democratic accountability" by giving governments more time to deliver.
A national referendum in 2027 will be required to pass the changes, with strict voter turnout and approval thresholds.
Source: AFP