Kwanza kabisa, sitaki kuanza na wema, sababu huu wema tulionao ndio umepelekea mambo yanayoendelea sasa nchini.
Nimejaribu kuwaza kwa kina na kutazama vipaumbele tulivyo navyo kama nchi...
Kwanza kabisa Jux is one among the artists ana inborn talent na anajua muziki, rnb zake mwanzoni kabisa zikiwakosha wengi.... Kama mnafatilia anatumia real life scenes kutunga nyimbo na Zina enda...
Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania...
Marekani imetangaza kufanya mpango wa dhamana ya visa kuwa wa kudumu, huku ikiongeza kiwango cha juu cha dhamana hadi Dola 20,000 kwa baadhi ya waombaji wa visa za biashara (B-1) na utalii (B-2)...
Dah jamaa kanipa stori kuwa kapanda daladala kutoka saateni kwenda mtoni kama km tatu au nne hivi, kafika anatoa buku karudishiwa mia tatu, alipo hoji akaambiwa tangazo lilitolewa tangu zamani kua...
Sio ubinadamu wa kawaida unakaa siti ya mbele mfano kutoka Dsm to mwz Kila anachofanya dereva unakiona speed kali na overtakes za kujitoa mhanga unaangalia tu na bado upo kawaida tu. Na wakati wa...
Ni chuo kikubwa cha kiserikali kilichopo msamala songea hakuna kiongozi yoyote nchini asie kijua na kina na kina miaka zaidi ya 25
Ajabu ni kwamba kwenye matangazo yao wanadai wanatoa mafunzo ya...
Mrembo kutoka tasnia ya bongo land, poshy amedai Moja ya kitu wanawake wanapenda ni ile uwe na mwanaume muhuni kidogo tu kapanda abembelezi ajilizi lizi, yani hood boys.
Ila msafi, sio kunuka...
Mimi kero yangu ni kwa hizi daladala zetu za Kigogo Fresh - Tandika kuwa na tabia ya kukatisha route...yaani mtu unalipa nauli mara mbili na wanaona ni halali yao kabisa... asubuhi wanaanzia...
Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha.
Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700.
Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei.
Je...
Hivi unajua beach za Mafia hazina tofauti na za Zanzibar
Kwa nini serikali isiwekeze kuitangaza Mafia kwa utalii at least pafanane kimaendeleo na Nungwi, Zanzibar
Nilienda Nungwi mwaka jana...
Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu.
Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata...
Daladala za Mawasiliano kwenda Masaki kwa asubuhi ni changamoto sana, unakuta watu wamejazana kituoni pale Mawasiliano, daladala zikija hazifiki mwisho wa Kituo, zinageuzia katikati na abiria...
Hili ni funzo kubwa sana katika maisha, kama kuna mtu kakuzidi uwezo nyoosha mikono kubali kwamba amebalikiwa. Badala ya kuanzisha ligi naye, jifunze kupitia kwake ili nawe uwe bora zaidi
Habari wana jamvi,
Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina...
Wizara ya afya, ofisi ya mganga mkuu wilaya ya Sengerema, mkoa wa Mwanza, tunaomba taarifa kuhusu kinachoendelea katika kisiwa cha Lyakanyasi kutokana na ugonjwa ulioibuka na unaodaiwa kusababisha...
Maajabu ya Ubongo wa Binadamu
1. Hali ya Deja Vu:
Hisia ya kushangaza kuwa tukio unaloliona sasa ulishawahi kuliishi huko nyuma, inayotokana na ubongo kuchelewa kupokea taarifa kwa sekunde chache...
Mnyabi kama manyabi naamini kwenye ubahili, kwa sisi wanyabi tunaojitafuta tufike level fulani huu ni unyama ambao nimehushuhudia.
Una saka mafanikio , kaza kinouma , hii ni kwa watoto...