Mkazi wa Sinza Mori, Janeth Ndimbo (30) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka manane ya usafirishaji haramu wa binadamu.
Amefikishwa mahakamani hapo leo...
Leo nimeamua kuanza kuandika mawazo yangu kuhusu safari ya kujenga maisha ninayotamani.
Sina uhakika nitafika mbali kiasi gani, lakini najua jambo moja: miaka ijayo nataka niweze kurudi hapa na...
Mwanzilishi wa Neuralink, Elon Musk, anasema kampuni hiyo ya kutengeneza vifaa vinavyopandikizwa kwenye ubongo inapanga kupandikiza vifaa vyake vya kwanza vya kuona vinavyojulikana kama Blindsight...
We live in the same existence but share different realities
Wewe ulijuaje dhumuni lako la kuwepo hapa duniani?
Tukachana na dhana za nature eti kuzaliwa, kuzaliana na kufa.. Kuna kitu ndani yako...
Inasikitisha sana kuona kijana hujiwezi kiuchumi, lakini unalazimisha sherehe ya harusi na kuanza kusumbua watu na kadi za michango. Kibaya zaidi, wengine tayari mmeshajenga familia...
Hakuna kitu kikubwa kama biashara ya makazi na fremu. Embu fikiria unapanga nyumba kodi laki 5 hapo hapo una fremu mfano ipo sehemu ya mzunguko kodi laki 5.
laki 5+5= milioni 1
Mfano hiyo pesa...
Hii ni kwa watafutaji na wazee wa fursa.
Leo tumalize mzizi wa fitina,ni Mji gani Kati ya Kahama na Tunduma uko vizuri kiutafutaji?
Tunduma-Ina wakazi zaidi ya laki 2 na ni Mji wa mpakani...
Unene karaha aisee, mda mwingine unashindwa hata kufunga kamba za viatu
Sex ilikuwa naikimbia mwenyewe, nilitunukiwa na mtoto wa ki-ghana aisee akaja ghetto ghafla bin vuuh, aisee nilipiga...
Hawa wachina sasa wameiacha dunia mbali sana. Mambo wanayotafanya Marekani wanaogopa sana. Ukiacha lile jengo lao refu sana ambalo limejengwa hewani halafu linaelea. Wana train ambayo hakuna kitu...
Salaam.
Wakuu hii video mpaka imenifanya nitafakari sana akili za hawa mapolisi kama ni wazima kichwani au vipi. Inasemakana huyo kijana aliingilia msafari wa Mwenge kwa kukatiza akiwa amebeba...
Nimejikuta nikitoa desa kwa mtu aliyeomba kuniuliza swali, ambalo yeye alidhani linaweza kuonekana la kijinga kidogo, lakini mimi sikuona hivyo, badala yake niliona haja ya kubadilishana uzoefu...
Hali ya taa za barabarani ambazo zimeungua kwa kiasi kikubwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huu.
Tatizo hili limekuwa kubwa hasa kwa watembea kwa miguu wanaotumia barabara nyakati za usiku...
Kiukweli mi naona kwenye swala la maendeleo ya barabara katika nchi hii serikali imeshindwa kabisa. Barabara nyingi nchini na muhimu kwa ustawi wa uchumi wa nchi ni mbovu kupita maelezo na cha...
Kuna siku unachoka.
Unakaa kimya, unajiuliza:
"Labda bora nirudi nyumbani. Niridhike na buku buku za kula tu kuliko kuendelea kupambana kila siku."
Lakini ukikumbuka safari uliyotoka, unagundua...
Mimi ni mtu ambaye naona aibu sana kuomba msaada. Sijawahi kuzoea maisha ya kutegemea kwamba siku nikikwama nitampigia mtu simu aniokoe. Kwa namna nilivyojijenga, naona kuomba msaada ni hatua ya...
Maisha yanapokuwa magumu, kila mmoja huwa na maoni yake. Unaweza ukawa unapitia changamoto za biashara, mahusiano, kazi, au hata hali ya kifedha. Wakati mwingine unaweza ukahitaji msaada wa fedha...
Mh Waziri Dkt. Gwajima D
Watoto umri chini ya miaka 14 wanashiriki ngoma zisizo na maadili. Kama wizara yako hatachukua hatua sitahiki tutegemee taifa la machoko baadaye