Simba acheni utoto..Huo uchawi mlioutumia Leo ni uchawi ulisha expire toka enzi za Pontyo wa Pilato...Ni version ya uchawi ulio kuwa unatumika wakati Nuhu bado yupo kwenye safina..
Eti muasisi...
Uganda ni typical banana Republic (Jamuhuri ya ndizi) isiyo na utawala wa Sheria (due process) inayoongozwa na familia moja baba akiwa Rais, mama waziri na mtoto wao mkuu wa majeshi mropokaji...
wazo hili limenijia baada ya safari yangu ya kusini mwa tanzanina kuona uwanda mkubwa usio na makazi ya watu wala hifadhi, ni pori kubwa maelfu ya heka yasio tumika kwa namna yoyote.
Wazo lika...
Mimi sio mkazi wa Daslam lakini wenye mji wao kwenye mitandao ya kijamii wanasema hapo Masakuu Mbagala Kuna laana isiyo ya kawaida kitambaa cheupe irudi darasani kwanza.
Wanasema watu wanakulana...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Godius Kahyarara, ameielekeza Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (TASAC) kuhakikisha inatekeleza kwa ufanisi majukumu yake ya kusimamia na kudhibiti...
Zamani kidogo, kulikuwa na fundi ujenzi mzee aliyekuwa na ujuzi mkubwa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa miaka zaidi ya 30, alijenga nyumba nyingi nzuri na za kifahari kwa moyo wake wote. Siku moja...
Ajali ya alie kuwa waziri Mkuu sokoine ambaye alitazamiwa kuwa kiongozi mkubwa ambaye angebadilisha sana Tanzania
Picha ya alie kuwa rais w Tanzania hayati John Magufuli akizindua kiwanda cha...
Upande wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) umeeleza kuwa mafao yanayotolewa na mfuko huo kwa sasa ni yake ambayo yalifanyiwa maboresho ya Kisheria mwezi Oktoba 2022.
Ambapo fao la...
Wakulima wa vitunguu, mpunga, mahindi na mazao mengine kwa sasa wanazidi kuchanja mbuga kwenye mbio za utajiri. Ndani ya miaka mitatu kilimo kimezalisha mamilionea wengi. Siku hizi ni kawaida...
Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania.
Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku...
Niliwahi kuishi Mbeya, maeneo ya Mama John.
Karibu na nilipokuwa nikiishi kulikuwa na gesti yenye baa ambayo ilisimuliwa kuwa sehemu ya kukutana kwa watu waliokuwa wakipanga shughuli zao za...
PEPMIS PEPMIS PEPMIS PEPMIS PEPMIS PEPMIS
📢 UFAFANUZI MUHIMU: “VACANCY IS NOT BUDGETED” KATIKA MFUMO WA ESS
Ndugu mtumishi,
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu ujumbe huu unaojitokeza kwenye mfumo...
Happy Nanenane Day JF Fam 🌾🇹🇿
Kutokana na ushindani mkubwa uliopo kwenye biashara, hasa baada ya ujio na kukua kwa social media, wafanyabiashara wengi wameanza kutengeneza package, offers na...
CODE 30 ZA AFYA AMBAZO KILA MWANAUME ALIPASWA KUJUA KABLA YA MIAKA 35.
HAYA NDIO MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HUYAGUNDUA WAKIWA WAMECHELEWA.
1. Kiwango chako cha homoni ya kiume Testosterone...
OBSESSION ni hali ya akili ambapo wazo, mtu, au kitu hudhibiti kabisa mawazo yako. Unafikiria juu yake wakati wote, na huwezi kuacha, hata unapotaka kufanya mambo mengine.
Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani,
Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia.
Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa...
Hali imekuwa mbaya jinsi dunia inavyozidi kugundua njia na mix AI inavyochochea ziada ya ku analysis taarifa.
Kwa sasa makampuni yaliyotegemea a logarithmic kubwa yanaanza kufanya wazi kuchomoa...
Ukimsikiliza huyu kondakta vizuri unagundua kwa siku ana uwezo wa kulala na 50,000 Tsh mfukoni ambapo kwa mwezi ni kama 1,500,000 Tsh hiyo ni sawa na mshahara wa Daktari aliyesoma miaka 5 pale...
Waungwana Huu Utaratibu Wa Kuvisha/Kuvishwa/Kuvishana Pete Wakati Wa Kufungua Uchumba au Kurasimisha Ndoa Ulianzishwa na Nani?
Pete Inasimama kwamaana Ya kuwa Mwili Mmoja au Kuelekea Kuwa Mwili...