Wananchi mbalimbali wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kufuatia kukamilika kwa mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere Hydropower Project, mradi...
Wakuu,
Hii video inaonyesha namna vijana hawa ni majasiri, waligomea gari la Serikaei lisibebe mwili wa mwenzao kwani kifo chake kimesababishwa na watumishi wa Serikali
Hawa Wanafunzi mwenzao...
Katika purukushani za maisha huku na kule, kuna kipindi nilishawahi kukamatwa na kuwekwa ndani
Kesi yangu ilikuwa bado inaendelea, lakini ndani ya moyo wangu nilikuwa naamini kwamba, kwa namna...
Asilimia kubwa ya sisi wazazi tunaojitambua haturuhusu watoto waangalie au wasikilize nyimbo za bongo fleva sababu nyingi hazina maadili.
Ila cha kushangaza unaenda kwenye mahafali unakuta mtoto...
As I'm adding one year today, to make it the last year of my 20's kuna mambo ambayo nataka nishee nanyi as to what I learned through.. Huwa sicelebrate na sijawahi. Unazaliwa na kufa tu hapa...
Habari wakuu,mara ya mwisho nilisimulia hapa jinsi ambavyo nilipitia kipindi kigumu kwenye maisha yangu baada ya kupoteza kazi ikafika kipindi nakosa hata shilingi 100 ndani na nina familia ila...
Kuna Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro iliyopo mkoani Mara - Bunda Vijijini kachapwa viboko na Walimu takribani 30 mpaka amefariki Dunia, tukio limetokea SaaSaba Mchana...
Kufungwa rasmi na milele kwa stendi zilizokuwa shekilango, Lumumba na mnazi mmoja imekuwa kicheko kwa matapeli, wezi, vibaka , wabakaji na waganga wa kienyeji waliokuwa wamekosa kazi:
MADALALI...
Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea.
1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa...
Kwa mfano
Umeenda Hospital kumuona daktari, akakufanyia vipimo vyote mahususi na baada ya vipimo na majibu ya vipimo daktari anakuja na ushauri kwa kuhusu suala zima la kuzingatia matibabu yako...
Roman Catholic imeanzia kale sana, tofauti na hawa wanaojibagaiza kutoka kanisa la kwanza huku wakiwa hawana ushahidi wowote! zaidi ya kuwa na Biblia kubwa kama kitanda. Anyway tuachane na hayo...
Mashahidi wa Yehova (Jehovah’s Witnesses) ni dhehebu la Kikristo lenye mafundisho kadhaa yanayotofautiana na madhehebu mengi ya Kikristo.
Kwa ufupi, wao wanaamini:
-> Mungu ni mmoja, na...
Mnatudanganya na makamera yenu.
Mtajiita A list, ila watanzania wana A list zao na watabaki nazo
Wolper, Irene, Kajala na Aunty ni kipi cha maana mlicho inspire kwa mabinti katika hili taifa...
Kama wanyama flani wapo na aina zao kwanini isitambuliwe kwa binadamu pia?
Tunaona ng'ombe wapo katika types tofauti, nguruwe, mbwa, kuku, tembo nk. Kwanini binadamu tusiwepo kwenye types...
Madalali wa nyumba jijini Dar es salaam wamekuwa matapeli kwa miaka, sasa wamewafundisha wenzao wa mikoani kama Kilimanjaro, Arusha , Mwanza, Mbeya na Dodoma. Madalali ndio wamekuwa wakipandisha...
Maisha yanafikirisha sana
Mim ni form 4 point 29 enz hizo 2011 .Kichwani nipo empty kiasi chake
Yote ni mipango ya Mungu .ckuwa na wazazi mambo ni mengi Tena hayaelezeki, Wabongo. wanasema mambo...
Kama ilivyokua na aina za ngombe, kuku, mbwa, punda, papa wapo wa aina tofati haswa kutokana na ubora na mapungufu yao hata binadamu TUPO KWA AINA TOFAUTI na hatupo sawa kama dini na sayansi...
Wakazi wa Iringa Mjini tunapandishiwa nauli za daladala katika njia kutoka Stendi ya Zamani kupitia Igumbilo hadi Stendi Kuu ya Mabasi na Viwengi, magari yanayofanya safari katika njia hii...