Jamii forum ndo jukwaa lenye mchanganyiko wa watu mbalimbali wakiwemo wasomi na watu wenye vitengo mbalimbali n.k. Hivyo wingi wa uchangiaji kwenye mada fulani unaweza kusaidia kuiona sura ya...
Natoa wito Kwa serikali kuipandisha hadhi Manispaa ya Geita kuwa Jiji kwani Ina vigezo stahiki.
Ukiacha vigezo vya ujumla lakini Geita imekishi vigezo muhimu zaidi vya Mapato ya ndani ambapo Kwa...
HIvi karibuni NSSF walitangaza maboresho ya mfumo baada ya mfumo wa NSSF one portal kurejea niligundua pesa imekatwa na idadi ya michango imepungua je NSSF hili limekaaje
Tupo hapa Ushirombo tunakula supu ya mkia wa Ng'ombe na ulimi wa kuchoma ahsee nimeona idadi kubwa ya walimu wanakuja kukopa unga na dagaa hapa kwa Mangi hadi wote tukajiuliza kwani imekuweje...
Changamoto ya kupoteza simu ni ya kawaida kazi inakuja pale unapofuatilia simu yako hupewi ushirikiano na wahusika ambao ni police, mbona wao wanapoibiwa wanafustilia?
Kuwaita ndugu za baba, baba mdogo/mkubwa na ndugu za upande wa mama, mama mdogo/mkubwa imekaa Kienyeji sana. Baba ni mmoja tu, mama ni mmoja tu, hakuna nusu baba au nusu mama.
Kama walikosa...
Binafsi imenifundisha kujiwekea akiba kwa maisha ya baadae.
Watu wameongea mengi mno.
Ila kiufupi tu ni kwamba kila mtu ana nafasi ya kutoboa haijalishi unafanya kitu gani. Ni namna tu...
Kijana wa kitanzania issaya yunge, ametambulishwa rasmi kama mchumba wake na Charlene ruto, mtoto wa muheshimiwa William ruto, rais wa kenya.
Za chini chini inasemekana kijana huyu, ni mhitimi WA...
Mzazi usichome pesa kumpeleka mtoto wako shule ya gharama sana sio guarantee kwamba mtoto wako atakuja kufanikiwa kimaisha
Uzoefu wangu wa Maisha nimeshuudia watu waliosomeshwa international...
Asalam aleykum, hisia zimenijia ya kwamba huenda Tanzania kwa kushirikiana na Uganda tukajenga refinery yetu katika kukabiliana na hali za kiuchumi za kidunia na pia kwa manufaa yetu.
Je, endapo...
Ukweli hii kitu sijui kama kuna mtu alishawahi kuongelea...
Hii kasumba ya mtu kutoa comment ili apate reactions nyingi huwa inawafaidisha nini?
Naomba nieleweke kuna mada serious na zile za...
Habari wakuu
Wakuu, hivi hawa waajiriwa wa maofisini serikalini na makampuni ni nani aliyewaroga? Yaani ugonjwa wa akili na ulimbukeni umewajaa kupita kiasi.
Jumanne ya wiki iliyopita ilinibidi...
TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp π, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! π±π
Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona...
Huyu jamaa huwa anaibuka vipindi nnchi ina mambo ya muhim then anapotea japo watu wengi wanadhani ni chizi yule sio chizi
Jiulize pesa ya kuishi na kula vizuri hadi kujipodoa anapata wapi...
Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio...
Ninaomba kuwasilisha kero yangu kwa Tanesco kuhusu hali ya umeme katika maeneo la Majohe, Dar es Salaam.
Kwa muda sasa tumekuwa tukikumbana na tatizo la kukatika umeme mara kwa mara bila taarifa...
Habari zenu Ndugu zangu.
Moja kwa moja kwenye main point,
Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%.
Aviator imeharibu ndoto za...
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya basi la abiria aina ya Zugspitze Express, lenye namba za usajili T 639 AQN, kugongana uso kwa uso na gari ndogo aina ya Toyota...