Nchini Tanzania, mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa na maambukizi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) mara nyingi hujumuisha maeneo yenye idadi kubwa ya watu na shughuli nyingi za...
KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026
Ndugu...
Salama ndugu zetu? Ni muda mrefu ndugu zenu watanganyika hatujawasikia, mmekuwa kimya sana. mnaendeleaje kiafya na kiuchumi? Ni matumaini yetu mpo vyema. Mkipata hizi salamu tafadhali mtujibu.
Nikiwa nasafiri nilipita katika standi hiyo nikiwa natafuta gari la kuunganisha kwenda mikoa ya kanda ya ziwa hivyo hivyo ikabidi niende chooni
Japo huduma ni ya kulipia ila mazingira yake Sio...
Kwanini mfano Shirika la nyumba lisiweke nyumba kwa ajili ya wanafunzi mfano kwa Dar es Salaam? Mwanafunzi anapanga nyumba sawa na mfanyakazi au mfanyabiashara Kariakooo?
Yaan Mwanafunzi anapanga...
Nchi ya kusadikika ,kwani mishahara imeisha au . Yaan nimemtembeza weee na kidole kaniqata na pesa hajanipa,,πππππ. ,wenye visemeo taarifa kwa umma hakuna duuuuuuu.
ngoja nirudi kulala
"Tunapogundua magari yanasababisha usumbufu, tumeanza kuyafungia ving'amuzi. Kwa kuwa tunaanza kwa awamu, tutaanza na daladala zote zitakazobainika kukiuka masharti ya leseni zao."
Hayo yamesemwa...
Mafanikio hayataki kelele nyingi. Watu wengi huona matokeo ya mwisho, lakini hawaoni mchakato uliomfikisha mtu hapo. Ukikutana na mtu aliyefika mbali, mara nyingi atakuambia βusikate tamaa,β...
Kumrekebisha mtoto ni muhimu, lakini kufanya hivyo kwa wakati usiofaa kunaweza kumuumiza zaidi kuliko kumsaidia. Hizi ni nyakati tano ambazo si busara kumkaripia au kumwadhibu mtoto
1. Pindi...
KUOMBA KWA MAMLAKA.
Utangulizi
Maombi ni kitu cha ajabu sana. Kwa maana kupitia maombi yale yasiyowezekana yanawezekana. Lakini nataka nikutazamishe siri fulani hivi ya maombi, kwamba mwombaji...
Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966
(1966-1972) 1 USD = 5 TZS,
(1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976,,1 USD=12 TZS
1977, 1 USD =12 TZS...
Kuna mambo ambayo yalikuwa na maana miaka 20 au 30 iliyopita, lakini leo yamepitwa na wakati. Mojawapo ni tabia ya baadhi ya watu kujiona wako juu kwa sababu tu wamezaliwa Dar es Salaam.
Mwanzoni...
MAPENDEKEZO YANGU: TUKITAKA KUJENGA UCHUMI WA UZALISHAJI, KUNA MAAMUZI MAGUMU LAZIMA TUANZE KUYAFANYA
Kuna mambo ambayo naamini kabisa tukiamua kuyafanya kwa nia ya dhati yanaweza kubadilisha...
Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.!
Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa
Katika...
Mamia kwa maelfu ya wafanyabiashara Waafrika, Waarabu na Waasia hufunga safari mara kwa mara na kwenda kununua bidhaa zao kwenye soko kubwa zaidi la bidhaa ndogo ndogo duniani lililoko huko Yiwu...
Ali Khan, 17, aliweka sawa mkoba wake wa nyuma na kupanda treni ya mchana ya SGR katika Kituo cha Voi. Siku tatu kabla ya hapo, kijana huyo wa Kihindi na wenzake 74 waliokuwa wamepiga kambi...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea kusikilizwa leo tarehe 10 August 2026 katika Mahakama Kuu, Masjala ya Dar...
Unapotaka kwenda kuomba kazi mahala,ikiwa tayari umesha vaa mpaka viatu,na kunywa chai yako,isome zaburi ya 65 kwa nguvu na sauti, huku umeshika document zako,uimalize zaburi hiyo!,Tafadhali usiwe...
Jina tunalopewa halibadiliki uende Marekani, Uingereza na popote duniani.
Mnaomini 'transliteration' eti Joseph aeza itwa Yusufu, mbona bongo hatuna hilo ng'o?
hata ingekuwa ivo, jina la Yesu...