Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa
Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote..
Nimesha vuka fear, ni naweza...
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Tiba Asili ya Mwafrika tarehe 31 Agosti 2026, Afrika inakabiliwa na swali moja kubwa: Je, tutaendelea kutumia urithi wa tiba asilia kama ulivyo, au tutautafiti...
Eneo la Mwenge katika Dar es Salaam limepewa jina kutokana na Mwenge wa Uhuru.
Baada ya Tanganyika kupata uhuru mwaka 1961, Mwenge wa Uhuru ulianza kukimbizwa kila mwaka kama ishara ya uhuru...
hapo zamani kabla sijahamia kwangu nilikuwa nimepanga.
Matukio mawili nilikutana nayo nikiwa nimeamka usiku wa manane, mara ya kwanza nikiwa nimeenda chooni pale choo cha chumbani kilipoisha...
“Kuna minyororo ambayo haionekani kwa macho, lakini humfunga mtu kuliko chuma.
Minyororo hiyo ni hisia.”
Moyo unataka kile kinachokufurahisha leo.
Akili inapaswa kujiuliza: “Hiki ninachotaka...
Watoa huduma karibu wote(kama sio wote) wa internet wanasema siku 30 (sio mwezi) za huduma. Kwanini sio mwezi mmoja? Profit maximization??. Kwa mtazamo wangu wanaiba siku 6 (kwa mwaka) for every...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema viwanja vya kufurahisha watoto vilivyojengwa Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, vinapaswa kuwa sehemu salama ya...
Platypus ni mnyama wa kipekee sana anayepatikana porini mashariki mwa Australia na kisiwa cha Tasmania. Platypus
Ni mmoja wa mamalia wachache duniani wanaotaga mayai badala ya kuzaa watoto hai...
Habari wakuu,
Miaka michache ijayo, kuwa na roboti nyumbani, maofisini, mashambani hakutakuwa jambo la kushangaza. Kama ilivyo kwa simu janja ambazo zamani zilionekana kuwa za kipekee, roboti nazo...
1.Kwenye mambo yako muhimu ya maisha mipango ya maana usimshirikishe mwanamke wako.
2.Mwanamke wako sio ndugu yako,ni adui yako namba moja.
3.wanawake wapo kwa ajili ya kuharibu maono yako ...
Klabu ya Yangu 10-8-2026 imemsajili mchezaji wa Simba ambaye hakuna na namba na ameshuka kiwango Sulemani Mwalimu, kwa milioni 150, Nyumba mikocheni na Subaru forester na mshahara wa milioni 15...
Je unatumia mtandao wa Jamii forums Tanzania!! , app ya jamii forums leo wamefanikiwa kufanya maboresho kwa kuweza kubadilisha logo Yao ambayo ilidumu kwa muda mrefu sana.
Mtandao wa jamii...
Kumekuwa na hoja inayorudiwa mara kwa mara kwamba Afrika imechelewa kimaendeleo kwa sababu watu wake wana dini nyingi, hasa Uislamu. Lakini je, hoja hiyo ina uzito wa kutosha, au ni njia rahisi ya...
Week hii miongoni mwa story kubwa mitandaoni ni kuchumbiwa kwa mtoto wa Rais Samuel Ruto na ndugu yetu wa kitanzania Isaya Yunge.
Kupitia story hiyo nikakumbuka kisa changu cha sekunde kadhaa...
Habari ya wakati huu!!
Wakuu nimechapika na maisha vibaya sana, nimekaa nikawaza nikaona nitimkie Kilimanjaro nikafanye kazi ya Upangazi kule mlimani!! Kama Kuna mtu anafanya hii kazi, au ana mtu...
Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano!
Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri...