Teknolojia ya Tanzania inazidi kupiga hatua! ๐น๐ฟ๐
Anaitwa Emmanuel Mpyambala, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), amebuni mfumo unaoitwa VexGuard Anti-Theft System, unaolenga kusaidia...
Habari, wakuu, naomba ushauri kwa jambo langu, hapa ambalo naona linaenda kutokea hivi karibuni,
Nimeajiliwa sehemu flan nafanya kazi, nimeajiriwa, toka mwaka 2016, had leo hii
Maisha yako...
Hili suala la Mohamed kusema Yesu hakufa msalabani ni kituko kweli, kila mtu anayeamini Yesu alikuwa mtu halisi kihistoria aliyeishi duniani anaamini Yesu alikufa msalabani.
Hata Atheists na...
Nimekua nikifikiria jambo hili kwa muda.
Kuna watu ambao zamani walikuwa wanawaambia watu kila kitu wanachopanga kufanya kama biashara, ujenzi, kazi wanayoomba, miradi wanayoandaa na hata...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza rasmi marekebisho ya kanuni yaliyopunguza kwa kiasi kikubwa utitiri wa tozo na ada ambazo zimekuwa zikitozwa wasanii na wadau wa sekta ya sanaa nchini...
Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika.
1. Msiba mkubwa watokea
2. Kimeumana Mabibo
3.Heche amaliza kazi
4. Kimenuka
5...and much more of this type!
Uandishi wa so called waandishi wa...
Sijui kama kuna professional therapists wa ndoa (LMFT) Tanzania ila hawa ndio watu sahihi wa kwenda endapo ndoa imefika kuwa na matatizo makubwa.
Watu waache kupoteza muda kukimbilia sijui kwa...
TARIME, MARA: Kaimu Mthamini Mkuu wa Serikali, Bw. Chiremeji R. Kome amewataka wananchi ambao maeneo yao yanapisha mradi wa ujenzi wa Bwawa la TSF la Mgodi wa North Mara wa Barrick kuheshimu...
Mahakama ya Mkoa wa Lindi imemhukumu Nurdin Mwanga, mkazi wa Mnolela, kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi wa Sekondari mwenye umri wa miaka 16.
Hukumu hiyo...
Wasalaam,
Nimewaza jambo moja, Je Tanzania inaweza kujifunza kutoka kwenye mfumo wa majimbo wa nchi kama Marekani (federalism), na kuutengeneza kwa mazingira yetu?
Sisema tuige Marekani 100%...
MWANAMKE ANAONGOZWA NA HISIA ZAIDI KULIKO AKILI.
MAPENZI NI HISIA..
Mwanamke akikupenda AMEKUPENDA KWELI na utajua kuwa unapendwa hata kama wewe hutaona basi walioko pembeni ndugu jamaa na...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imeweka kambi ya huduma za papo kwa papo katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii wa Sanaa na Utamaduni yanayofanyika katika viwanja vya General Tyre...
Wakuu, nimekuwa nikitafakari jambo moja kuhusu maisha ya binadamu.
Kwa nini watu wengi wanapokuwa peke yao hukimbilia simu, mitandao ya kijamii, vijiwe au kutafuta mtu wa kuzungumza naye, hata...
Twiga na Nyoka ni miongoni mwa wanyama ambao mara nyingi hawasikiki wakitoa sauti kama Simba au Tembo... lakini hilo halimaanishi hawawasiliani! ๐คซ
Je, wanawasilianaje? ๐ค fuatilia hadi mwisho...
Ukitaka timu yako ishinde unaweza kumhusisha Mungu. Jee ikishinda ni sawa kumshukuru Mungu na ikishindwa ni Mungu wa kulaumiwa?
Ukifanya biashara ni sawa kuhusisha Mungu, kama mizani yako haipo...
Kuna jambo limekua likinifanya nijiulize kuhusu maisha yetu katika kizazi hiki.
Leo mtu akifungua Instagram, TikTok au Facebook, anaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakijenga nyumba na...