๐—›๐˜‚๐˜†๐˜‚ ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ‘ค

๐—›๐˜‚๐˜†๐˜‚ ๐— ๐˜๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ช๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ‘ค

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,355
Reaction score
2,768
Teknolojia ya Tanzania inazidi kupiga hatua! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘

1791536762995.jpg

Anaitwa Emmanuel Mpyambala, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), amebuni mfumo unaoitwa VexGuard Anti-Theft System, unaolenga kusaidia kufuatilia simu zilizopotea au kuibwa.

๐Ÿ“ Mfumo huu umetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia kutambua eneo la simu kupitia GPS, kufunga kifaa kwa mbali na kuweka taarifa za mawasiliano ya mmiliki ili kurahisisha kurejeshwa kwa kifaa.

Mfumo huu unafanya kazi vipi?
๐Ÿ“ฑ Simu ikipotea au kuibwa Unaweza kutumia simu ya ndugu au rafiki kujaribu kufikia taarifa za kifaa chako.

IMG-20260819-WA0007.jpg

๐Ÿ›œ Kuingia kwenye akaunti kupitia kupakua app husika kupitia Google Play Store na kuingia kwa akaunti iliyokuwa ikitumika kwenye simu iliyopotea.

๐Ÿ“ Kutambua vifaa kwa kuonyesha vifaa vilivyowahi kuunganishwa na akaunti hiyo, kulingana na maelezo yaliyotolewa kuhusu uvumbuzi huo.

Vijana wa Tanzania wanaibadilisha dunia kwa teknolojia! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿš€ ๐Ÿ‘‡ Je, ungeitumia teknolojia hii?

#bongotech255 #teknolojia
 
Bila IMEI kupata simu ya Android ni kazi mwishi alishaiflash. Mzigo unapigwa chini wote.
 
Mbona hizo software zinakuja na baadhi ya simu by default,unaweza ukaibiwa simu na ukafungua hiyo software kwenye simu nyingine au computer na ukapata location halisi ya simu yako iliyoibiwa...
 
Safi sana mambo kama haya ndio tunayoyataka kama nchi Hongera sana kijana kwa ubunifu mzuri
 
Mbona hizo software zinakuja na baadhi ya simu by default,unaweza ukaibiwa simu na ukafungua hiyo software kwenye simu nyingine au computer na ukapata location halisi ya simu yako iliyoibiwa...
sasa ukishajua location utafanya nn
 
Back
Top Bottom