DexterLab JF-Expert Member Joined Oct 17, 2024 Posts 443 Reaction score 584 Oct 7, 2026 #1 salamu wakubwa, kama heading inavyojieleza, ofisi za NIDA wilaya husika zipo maeneo gani?
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 28,031 Reaction score 54,573 Oct 7, 2026 #2 Una simu janja halafu hujui kuitumia kweli?siku hizi kila kitu unauliza simu
DexterLab JF-Expert Member Joined Oct 17, 2024 Posts 443 Reaction score 584 Oct 7, 2026 Thread starter #3 Iceberg9 said: Una simu janja halafu hujui kuitumia kweli?siku hizi kila kitu unauliza simu Click to expand... Toka hapo kwa shemeji yako, dada yako anaogopa kuanika chupi nje kisa wewe
Iceberg9 said: Una simu janja halafu hujui kuitumia kweli?siku hizi kila kitu unauliza simu Click to expand... Toka hapo kwa shemeji yako, dada yako anaogopa kuanika chupi nje kisa wewe
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 14,265 Reaction score 40,221 Oct 7, 2026 #4 Kwa DC
DexterLab JF-Expert Member Joined Oct 17, 2024 Posts 443 Reaction score 584 Oct 7, 2026 Thread starter #5 Carasco Putin said: Kwa DC Click to expand... Uhakika mkuu? Ishu serious hii.
DexterLab JF-Expert Member Joined Oct 17, 2024 Posts 443 Reaction score 584 Oct 8, 2026 Thread starter #6 Carasco Putin said: Kwa DC Click to expand... barid mzee
Thebroker JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 4,319 Reaction score 7,485 Oct 8, 2026 #7 DexterLab said: Uhakika mkuu? Ishu serious hii. Click to expand... Sasa, unabisha nini?
DexterLab JF-Expert Member Joined Oct 17, 2024 Posts 443 Reaction score 584 Oct 9, 2026 Thread starter #8 Thebroker said: Sasa, unabisha nini? Click to expand... nishapata huduma,na wala sio kwa DC. Ni ofisi ya halmashauri.
Thebroker said: Sasa, unabisha nini? Click to expand... nishapata huduma,na wala sio kwa DC. Ni ofisi ya halmashauri.