Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo.
Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia...
kuna msemo wa zamani unasema Mla miwa husahau ila mtupa maganda hasau!
Salam Haitii mimba; Huu msemo unamaana tu kwa watu wenye nidhamu;
Haiwezekani unasalimiwa na mkubwa katika birthday yako...
WAKALA YA BARABARA TANZANIA, TANROADS - IRINGA INAWATANGAZIA WAKAZI WA MKOA WA IRINGA NA WATUMIAJI WA BARABARA KUU YA TANZAM, KUTAKUWA NA MATENGENEZO YA DARAJA LA IPOGOLO KWENYE MTO RUAHA MDOGO...
Pakistan: Sadiq Masih, Mkristo mwenye umri wa miaka 40 aliyekuwa akifanya kazi katika tanuri la matofali, aliuawa baada ya kupata kiu na kunywa maji kutoka kwenye chombo cha kupoozea maji (Water...
Habari wakuu,
Ninaamini kuwa Content Creator ni aina mpya ya ajira katika dunia ya kidijitali, na inaweza kuwa fursa muhimu kwa vijana kujiajiri na kujenga vyanzo vyao vya kipato.
Kwa sasa...
Serikali iangalie hili swali aisee haiwezekani mtu ana GPA ya kuunga unga nahisi jamaa GPA yake iko below 4.5 na mimi GPA yangu ni kubwa sana yaani katika hapa ofisini hapa mimo ndiyo nina ufaulu...
INJILI ZA KILEO
zimemtengeneza tafsiri ya Mungu inayoendana na matakwa yao na tamaa zao za mwilli,yaani Mungu wa aina mpya kwa sura ya Mungu atakayewachukuliana na dhambi zao bila kuwa...
KAMA MWANAMKE HAJAKUOMBA PESA USIJIPENDEKEZE KUMPA. KUOMBA NI SEHEMU YA KUJISHUSHA KWAKE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Usipendi kujiongeza kwenye ujingaujinga. Mpe hizo hela mama yako au...
Mwaka 2002 ni mwaka ambao kwa familia hakuwa mwaka mzuri, familia ilipata uzuni ya ghafla kila mmoja aliumia kwa wakati wake
Baba yangu aliumia sana kwa sababu katika watoto wa familia dada yangu...
Watu wengi wakisikia neno kilimo, hukimbilia kwenye jembe, matope, jua kali, na uchovu. Lakini ukweli ni kwamba, kilimo sio kazi tu ya kuzalisha chakula; kilimo ni shule kubwa zaidi ya maisha...
ACT Wazalendo tunalaani vikali matukio yaliyoota mizizi ya askari wa hifadhi mbalimbali nchini kufanya vitendo vya kinyama kwa raia na wananchi ikiwa ni pamoja na kuwatesa, kuwadhalilisha na...
Kuna haja ya Tanzania kuwapumzisha kwa amani (Mercy Killing) wagonjwa walio mahututi kwa muda mrefu bila kuwa na matumaini ya kupona?
Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
my own...
Sisi abiria tuna tabia ya kutaka kushushiwa popote karibu na nyumbani kwetu. Hivyo basi kubwa litalazimika kusimama na kushusha abiria kwenye vituo vidogo vya madaladala na kusababisha usumbufu...
Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu...
Mambo yamebadilika wakuu siku hizi hatushindani kufyatua watoto kutokana na gharama za malezi na malengo ya kuwajengea watoto maisha mazuri.
Zamani watoto waliachana kwa interval ya miaka...