Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mfano una miaka 27 Hujaoa wala huna mtoto Una shahada Huna kitanda wala asset yoyote Huna fani yoyote Je ungetafuta fani gani, ingeishia wapi?? Vipi kuhusu mahusiano. Naandika hivi kwa sababu...
8 Reactions
52 Replies
507 Views
Ukistaajabu ya Musa hujaona ya Firauni. Hivi majuzi nilikuwa mitaa fulani nikapita karibu na maskani ya padre mmoja wa kanisa katoliki. Kwa mbali nikamuona mwanamke wa makamo anafanya usafi na...
24 Reactions
249 Replies
17K Views
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka Waendeshaji wa mabasi Jijini Dar es salaam kuzingatia utaratibu wa kupakia na kushusha abiria katika vituo vilivyopangwa na Halmashauri. Kwa...
6 Reactions
58 Replies
1K Views
Nilikuwa nikisikia sifa zinazopewa kwenye tunda linaitwa embe ng'ong'o nilikuwa natamani sana kulionja kwa kuwa huku kwetu kanda ya magharibi halipo na kama lipo mie sijwahi kukutana nalo. Nikawa...
2 Reactions
10 Replies
225 Views
Katika kuzunguka mitandaoni nimekuta habari za Songea kuandaliwa kuwa jiji nikajaribu kwenda deep nione kipi kimefanya hoja hiyo hot nikaona yafuatayo: 1. UN wameitaja Songea kuwa mji unaokua kwa...
9 Reactions
47 Replies
949 Views
Historia bila hiyana imeweza kutunza kumbukumbu nyingi za utu, nguvu na bidii za jamii ya Waafrika. Historia inapotaja ustaarabu wa mwanzo wa Mtu haijaacha kuitaja Afrika. Mabaki ya mifupa ya mtu...
2 Reactions
16 Replies
162 Views
Kwann hakuna mtu anayeweza kuchunguza Antaktika kwa uhuru wanatuficha nn ndani ya ice wall
4 Reactions
21 Replies
397 Views
Mfanyabiashara Mohamed Dewji ambaye pia ni Mwanzilishi wa Taasisi ya Mo Dewji Foundation amewatahadharisha Watanzania dhidi ya Matapeli wanaotumia jina la Mo Dewji Foundation na kudanganya kuwa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nasikia watu ambao hatuamini uwepo wa Mungu (huyu wa kwenye dini za Ukristo na Usilamu) tutaenda kuchomwa moto na yeye. Eti ka mind kuwa hatuamini yupo na hatumjui ukizingatia yeye mwenyewe hajaja...
3 Reactions
23 Replies
216 Views
Nimejikuta na kutana na clip ya jembe maghufuli mtandaoni. Na Hakika alikuwa ni mtu wa kipekee sana. It was once in a lifetime. Watanzania sisi hakika tumerogwa.. Na huu ndo ukweli Mchungu...
1 Reactions
2 Replies
71 Views
Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani. Leo nataka tupitie habari ya Isaya Yunge na Yeftha Habari ya Yeftha tunaipata katika kitabu cha waamuzi mara baada ya Gidion na...
8 Reactions
43 Replies
523 Views
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, amesema Tanzania imepata nafasi ya kuandaa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika Agosti 5 hadi 9 mwaka huu jijini Arusha. Amesema...
2 Reactions
2 Replies
106 Views
Ofisi ya Upelelezi wa Rwanda (RIB) imewakamata Prof. Emile Bienvenu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Rwanda (Rwanda FDA), pamoja na watu wengine 17 katika uchunguzi unaohusu...
9 Reactions
64 Replies
721 Views
binafsi nakosa muda mixa kauvivu na pia sina company ya watu wa kwenda nao mazoezi, je wewe sababu yako ni ipi video: https://vt.tiktok.com/ZSVLwaS17/
0 Reactions
2 Replies
87 Views
Ningeendelea kubaki na version ya zamani Hapa ku search jambo ina ka mlolongo Uki post kuedit shida Ukiweka Link ya Uzi uliopita ukibonyeza kuusoma inagoma NIMEREJEA KWENYE WEB BROUSER KAWAIDA...
6 Reactions
14 Replies
158 Views
Habari wadau Kwa nini Mungu mwenye upendo, muumba wa kila kitu, ameumba vimelea vya magonjwa hayo yanayotesa na kuua sana watu, imagine mtoto mdogo anateseka na kansa ya ubongo ama ukimwi
26 Reactions
755 Replies
22K Views
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mama Gift, mkazi wa Kitongoji cha Mbugani, Kijiji cha Magugu wilayani Babati, amenusurika kushambuliwa baada ya kudaiwa kukutwa usiku akifukia dawa...
5 Reactions
33 Replies
500 Views
Anonymous
Nilifanikiwa kuirudisha akaunti yangu ya NMB kuwa active kabla ya maboresho ya mfumo, na nilikuwa nikifanya miamala bila tatizo. Hata hivyo, baada ya maboresho hayo, nimekuwa nikishindwa kutoa...
1 Reactions
6 Replies
153 Views
N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua...
4 Reactions
13 Replies
256 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…