Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika maisha, tujifunze kuishi kwa maadili, heshima na adabu. Hata maisha yawe magumu kiasi gani, ukipata nafasi ya kupumua na kuona hatua moja mbele, usisahau kumshukuru Mungu. Kila mtu ana...
29 Reactions
74 Replies
1K Views
Habarini humu ndani Nimekuja kwenu najua nitapata msaada _Kuna mtu nimefanya nae biashara bila kuonana nae ila alikua amejenga uaminifu mkubwa kwangu - Maana alikua anatuma hela (advance)...
18 Reactions
94 Replies
1K Views
Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea, nikitokea Kijitonyama . Binafsi, ni miezi sita tangu nifike Tabata, na njia zangu za kawaida zilikuwa hazinipeleki upande huo...
2 Reactions
10 Replies
208 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Wakati watu wakipiga kelele kuhusu adhabu ya viboko shuleni mtu anaamua kukata fimbo anamcharaza mke wake, kwanini lakini. Hii sawa, nimekwazika sana
8 Reactions
69 Replies
1K Views
Tukio hili limetokea Asubuhi ya leo majira ya saa 3 katika Barabara ya kutoka kongowe kuelekea Twangoma. Ambambo lori lilifeli Breki likiwa kwenye mwendo kasi. Dereva wa Bodaboda alifariki...
1 Reactions
29 Replies
441 Views
Japo wasioamini mungu hukubali tu kuitwa atheists (wasioamini mungu) ila kiuhalisia ni ujinga tu wa binadamu ndio ulipelekea kuwepo hili jina au hii lebo. Jiulize kwa nini hakuna watu wenye lebo...
0 Reactions
21 Replies
141 Views
Umewahi kutapeliwa mali, pesa, imani au mapenzi katika mazingira yasiyoeleweka mpaka wewe mwenye ukajishangaa imewezekanaje "kuingizwa mjini" ? Mifano ya utapeli ni pamoja, Unaambiwa utume pesa...
0 Reactions
9 Replies
131 Views
Mimi ni mkazi wa Kata ya Nyamilangano, Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga. Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu matumizi ya mabomu ya machozi na Jeshi la Polisi katika maeneo ya...
4 Reactions
5 Replies
129 Views
Kwa mtazamo wa Wayahudi (Uyahudi): 1. Mungu kwa Wayahudi ni nani? Wayahudi wanamwamini Mungu mmoja aliye wa milele, asiyeonekana, mwenye nguvu zote, aliyeumba ulimwengu. Anaitwa kwa majina kama...
5 Reactions
46 Replies
1K Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa waathirika wa ukosefu wa ajira rasmi serikalini tangu nilipohitimu chuo miaka 10 iliyopita. Kutokana na hali hiyo, nilijiongeza kwa kujifunza taaluma nyingine yenye masharti...
2 Reactions
9 Replies
157 Views
  • Featured
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema kuwa tarehe 14 Agosti 2026, saa 9:30 alasiri, eneo la Mikocheni B, Kinondoni, limemkamata na linamhoji Peter Madeleka kwa tuhuma za kudharau...
6 Reactions
70 Replies
2K Views
Jana Maulidi ya mfungo sita Wete Pemba ilifana Sana. Allah Akbar.
1 Reactions
2 Replies
79 Views
Kwanza kabisa nitoe pole kwa kulifanya hili jukwaa lote linitazame mimi pekee kwa siku za hivi karibuni... Binafsi Itabidi mnizoee tu ninapenda sana kuwa the center of attention.. Narudi katika...
10 Reactions
112 Replies
734 Views
Katika kumbo hili la wakati, hata mtu anayeonekana kupoteza fahamu za kawaida za kijamii bado anajua nguvu ya simu janja na mitandao ya kijamii. Lakini linapokuja suala la maudhui anayoyatoa kwa...
0 Reactions
4 Replies
102 Views
  • Featured
Ufafanuzi kuhusu tukio la mtu mmoja kufariki Ngorongoro Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha lilipokea taarifa kuwa kuna watu wawili wanaume wamefikishwa katika Hospitali ya Lutheran Wilayani Karatu na...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Tukiwa humu tunakorofishana tunatukanana muda mwingine na muda mwingine tunafurahi pamoja, ni kama vile tuko kwenye metaverse. Unaweza pretend you have it all, umefanikiwa, umesoma sana you can be...
39 Reactions
72 Replies
6K Views
Ila je bado wasichana wenye vipaji bado wapo???? Wanafunzi kumi bora ni wavulana mwaka huu 2026? Wadau ,
3 Reactions
2 Replies
78 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…