Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna jambo la kuvutia sana katika Mwanzo 1:2 “Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu; na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji.” Aya hii inaweza kutufanya tujiulize swali ambalo mara nyingi...
11 Reactions
249 Replies
2K Views
Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote. Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na...
23 Reactions
593 Replies
14K Views
Naprndekeza itungwe sheria ya kuipa mamlaka ya mapato Tanzania TRA kufanya distribution ya mapato kwenda wizara/taasis husika. Hasa kipindi ambacho tunakaribia kujitegemea kwa asilimi 100. Mara...
1 Reactions
3 Replies
73 Views
Kwa sasa suala la upatikanaji wa maji Kigongoni, Mto wambu na Losirwa kimekuwa changamoto kubwa inayowaumiza wananchi Kwa kukosa maji Kwa muda mrefu. Maji yanatoka Kwa zamu ambazo zimepangwa...
0 Reactions
1 Replies
92 Views
Anonymous (e0c0)
Kablya ya Mfumo wa IDRAS ilikuwa ukitaka TAX clearance unaandika Batrua unajieleza na kujaza fomu na Unaipata ndani ya Siku tatu kama una vigezo vyote. Sasa hivi kwenye mfumo wa IDRAS unaweza...
3 Reactions
2 Replies
141 Views
Zipo apps zinaunganisha wapenzi wa jinsia moja katika eneo walilopo. Humo wamejaa wanachuo, bodaboda na mabazazi. Dakika 5 nyingi mtu huyu hapa anatwetwa kama Una geto ununue na bia/konyagi uweke...
3 Reactions
14 Replies
843 Views
WAANDISHI MAKANJANJA NI HATARI NDANI YA NCHI. Anaandika Robert Heriel. Leo nitatumia lugha ngumu kidogo, nafahamu nazungumzia kazi za watu ambazo zinawaingizia kipato. Hata hivyo Nia yangu sio...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna mzee ni jirani yangu anaishi pamoja na familia yake, na mara nyingi huwa nashinda naye nyakati za jioni pamoja na wikendi tukipiga stori moja mbili tatu pamoja na nasaha enzi akiwa kijana na...
11 Reactions
132 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali imeendelea kuwawezesha wabunifu wanaoibuka kwa kuwawekea mazingira rafiki, ikiwemo kuwapatia rasilimali fedha ili...
1 Reactions
1 Replies
157 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya sifa za mtu mchawi ni pamoja na hiki ninachokieleza hapa. Kazi kuangalia nani kaja kwenye msiba nani hajaja. Nani Kala nani hajala Nani anafanya nini...
6 Reactions
18 Replies
257 Views
Habari zenu wakuu.. Naomba ushauri kuhusu mpangaji wa baba yangu Wakuu, naomba ushauri kwenye jambo ambalo limenifanya nifikirie sana. Mzee wangu ana nyumba anayopangisha, na kwa sasa ana...
15 Reactions
136 Replies
2K Views
This is one of the most secretful things nimekaa nayo for years, na sijui kama kuna mtu atanielewa humu.. Nianze kwa kuuliza je, kuna mtu alishawahi kuwa connected to someone katika namna isiyo...
0 Reactions
25 Replies
450 Views
Ilikua mkesha wa pasaka. Mwanangu Zombie akanicheki like always, Oyaa location wapi leo? Nikamwambia wewe tu mwanangu master plan. OK sawa man tutazama mbeya pazuri.. (at that time nilikuwa naishi...
13 Reactions
51 Replies
1K Views
Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) wameiomba Serikali na Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wao na Harbinder Singh Sethi...
3 Reactions
7 Replies
320 Views
Imekuaje POMBE ni dhambi.? Wakati mitume na managing wote walikunywa mvinyo.
4 Reactions
17 Replies
199 Views
Kuna tofauti kubwa kati ya mtu asiyejua ukweli na mtu anayejua ukweli lakini hataki kuukubali. Mtu asiyejua anaweza kufundishwa. Anaweza kuuliza, akatafuta ushahidi na hatimaye akabadilisha...
2 Reactions
1 Replies
72 Views
Vijana wengi leo wanapoteza nguvu zao katika kutafuta kukubalika na watu wenye fedha, madaraka na ushawishi. Badala ya kujenga uwezo wao, wanatumia muda mwingi kujipendekeza, kusifia kila kitu...
5 Reactions
14 Replies
185 Views
Kumekuwepo tetesi ya kuwa mahakama ya Tanzania inaendeshwa Kwa simu Moja tu, Kuwa Kuna wanasiasa na Matajiri wamewaweka majaji na mahakimu mfukoni kama alivosema Rostamu Aziz Dunia itaenda...
5 Reactions
8 Replies
209 Views
Wakati vijana wengi katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wakilalamikia changamoto ya ukosefu wa ajira, kijana mmoja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameibua wazo...
2 Reactions
49 Replies
560 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ameliagiza Jeshi la Polisi kushirikiana na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kuwakamata madereva watakaoegesha malori yao kwenye eneo la hifadhi ya barabara...
2 Reactions
5 Replies
162 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…