Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mambo Mengine Ni ya Aibu Sana Mpaka 2026,Mkoa Wa Mwanza Uliozungukwa na Ziwa Victoria Kupata Huduma ya Maji ya Haba na Haba, Kama Mkoa ulio Mkabala na Ziwa Maji yanatoka mala 2 kwa Wiki Je Mikoa...
2 Reactions
9 Replies
120 Views
Video clip inayo endelea kusambaza huyu nabii akimtusi mama imenifikirisha sana
7 Reactions
134 Replies
2K Views
Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu. Shetani...
11 Reactions
65 Replies
3K Views
Hawa wana ccm washawahi kufikiria kwamba wizi wa kura na kuchezea uchaguzi kunaweza kuhatarisha usalama wa nchi? Nini kinachowapa ccm kujiamini? Je ni back up ya mchina au ya mnani vile...
3 Reactions
6 Replies
86 Views
Kwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari Wahusika chukueni hatua Shirika la viwango linahitaji mtu kama...
11 Reactions
25 Replies
472 Views
Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua...
25 Reactions
247 Replies
16K Views
Nimekuwa nikikutana na maswali mbalimbali kuhusu dini au Mungu mfano Niliwahi kuulizwa matendo mema yaliumbwa na nani nikajibu Mungu aliumba mema. Nikaulizwa tena mabaya yaliumbwa na nani...
16 Reactions
211 Replies
9K Views
Wakuu heshima yenu. Maandiko Yako wazi yanatuambia kuwa Shetani au Ibilisi aliasi huko mbinguni na akatupwa Duniani. Na mara zote tunaambiwa Huko mbinguni hakuna dhambi maana wanaishi viumbe...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Kuna jambo ambalo kwa kweli linanifanya nijiulize kwa nini mtu anaweza kuumia kabisa kusikia hata jina la Rais likitajwa kwenye mchezo wa mpira eti kwa sababu Serikali imepongezwa ? Hapa...
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Mzee Chalamila, kuna uhalifu tulio uruhusu hasa jijini Dae es salam Kisiasa serikali imeruhusu Bajaji na Boda boda kufanya shughuli za usafirishaji jijini, kitu ambacho si kibaya, hasa kwa...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Ujue siwaelewi. Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake...
8 Reactions
67 Replies
3K Views
NITATUMIA HADITHI YA MUSA NA DAUDI KAMA REFERENCE. Ushawahi kujiuliza kwanini Musa akaua akatoroka, lakini akawa shujaa? Kwanini daudi akazini, akaua, lakini akawa "mtu wa moyo wa mungu"? Au...
6 Reactions
7 Replies
234 Views
Yaani imefika hatua hata asiye na macho haambiwi ona,hii Hatari huenda itatutesa kwa miaka mingi baadae.
2 Reactions
11 Replies
199 Views
Wilaya ya Ilemela inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji kwa takribani wiki mbili sasa. Maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buswelu, Meko, National, Nyasaka, Nyamadoke, Bujingwa na Buzuruga...
2 Reactions
7 Replies
101 Views
Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Kama hakuleta dini ulimjuaje kama yupo? Surat Al-Baqara (2:132) "Na Ibrahim aliusia hayo kwa wanawe, na (vivyo hivyo) Yaqub (akisema): Enyi wana wangu...
5 Reactions
115 Replies
2K Views
Ngazi ya kata, je diwani au mtendaji,ngazi ya wilaya je mbunge au mkulugenzi,mkuu wa wilaya? Ngazi ya kitaifa, je ni mawaziri au makatibu wakuu wao na rais (isijekua tunawaonea watu au kuwapa...
0 Reactions
1 Replies
38 Views
Mods, nilishawahi kuweka hapa threads mbili zinazohusiana na mambo ya dini ila sijui huwa mnazifuta au mnazihamishia kwingine maana baada ya muda kidogo nikipost huwa sizioni. Ikiwa mada hizi...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake. Angekuwa anataka tumjue angejionesha au...
10 Reactions
47 Replies
726 Views
Kuna jambo la kuvutia sana katika Mwanzo 1:2 “Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu; na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji.” Aya hii inaweza kutufanya tujiulize swali ambalo mara nyingi...
11 Reactions
249 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…