Uhai wa binadamu unaanza wakati gani?

Uhai wa binadamu unaanza wakati gani?

Uhai unaanzia kwenye yai na mbegu za kiume.

Ni kinyume na sheria kumwaga nje ya uke wakati wa kujamiiana. Mbegu zinatakiwa zimwagiwe ndani ya uke.

Ukimwaga nje umeua. 🙂

Usiniulize chochote kuhusu hilo..Narudia sheria ya Bwana kwa wayahudi
kumbe kuna ma-uhai mengi sanaa yanapotea kwa siku. Imagine mbegu ngapi zinamwangwa na kufa kwa siku.... uwiiii
 
Uhai unaanzia kwenye yai na mbegu za kiume.

Ni kinyume na sheria kumwaga nje ya uke wakati wa kujamiiana. Mbegu zinatakiwa zimwagiwe ndani ya uke.

Ukimwaga nje umeua.

Usiniulize chochote kuhusu hilo..Narudia sheria ya Bwana kwa wayahudi
Asante! vp kuhusu tunaopata wet dream mkuu?
 
Kuhusu wet dreams inawezekana umeamka umekojoa kutokana na mwili kuchoka au umekunywa umekula kitu au bia hivi inakupelekea kusimamisha mda mrefu ukakojoa....hilo? Labda

Au unaota umelala na mtu ndotoni ukakojoa. Hili tatizo sidhani kama ni jambo zuri

Ila foreplay, masterbation and whatever you do is okay as long as unatakiwa ukojoe ndani ya uke ....

Kukojoa nje ya uke ni dhambi kubwa kwa wayahudi
 
Duh! sawa.
 
Pale ambapo mimba inaweza kuishi nje ya tumbo kama mtoto.
Mtoto akiwa tumboni anakula, anakunya, analia, ana move. Ingawa anakamilika kwa step anakuwa hai

Anakuwa another form of life, in progress kuwa mtu kama wewe au mimi. But the essence of life inakuwa ndani yake unasemaje hapo mpaka azaliwe?

There is life within sperms and egg, 🙂 uwe makini usije ukatoa mimba demu ukajiaminisha sio mtoto

Hata kutumiq vitu vya uzazi wa mpango making the natural unnatural ni vibaya sana.
 
Back
Top Bottom