Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za muda huu .... Mbona siku hizi matangazo ya kutibu nguvu za kiume zimeshamiri sana sio kama miaka ya nyuma wazee waliishije tena hao wafanya biashara kuna dini moja ukitoka nje ya nyumba...
2 Reactions
3 Replies
89 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amemtaka Mkandarasi China Wu Yi Construction kuhakikisha anakamilisha hatua ya kumwaga lami katika barabara muhimu inayopita eneo la Hospitali ya...
0 Reactions
3 Replies
83 Views
Siasa za figisu ndani ya Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania, UWT, Mkoa wa Mbeya, zimetajwa kuwa miongoni mwa mambo yanayokwamisha na kuchelewesha utekelezaji wa baadhi ya miradi yenye lengo la...
2 Reactions
0 Replies
134 Views
GT Hakuna jambo linalonitia hasira kama energy drinks ..haya ni mauaji ya halaiki na sijui kwa nini haipigwi stop. Pombe nazo ni balaa jingine sasa tangu zamani watu.washasema pombe za TZ nyingi...
16 Reactions
69 Replies
1K Views
Nikiwa kijana mkubwa wa secondary,kama unavyojua kuna kipindi kinafika unaona kabisa hapa wazazi inabidi wasiendelee kuzaa sasa,kwanza kutokana na umri wao lakini pili ile kuona inakuwaje bimkubwa...
12 Reactions
37 Replies
424 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imefanya operesheni katika Mtaa wa Majizzo katika Kata ya Kunduchi Wilaya ya Kinondoni na kubaini matumizi yasiyo halali ya maji...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Shikamoo,..habari zenu.. Kwanini wanaoitwa watumishi wa Mungu wa Leo miongoni mwao wanakuwa na vitambi? Je ni kwasababu washirika wao wanawapa vinono? Ni utukufu wa Mungu? Ni waongo ndiyo maana...
6 Reactions
85 Replies
546 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Serikali ya Tanzania imetangaza kanuni mpya zinazopiga marufuku ufungaji na matumizi ya ving’ora na taa za ishara (beacon lights) kwenye magari binafsi bila kibali maalum, kufuatia kuongezeka kwa...
0 Reactions
2 Replies
169 Views
Tanzania: Did you know? Twenty years ago, the World Bank predicted rural electrification in Tanzania would take 100 years, but Tanzanians said no and did something different. Now, in less than...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Wakili Kiomoni Kibamba amesema magari makubwa hayatakuwa yakiruhusiwa kushusha mizigo katikati ya Jiji la Mwanza wakati wa mchana, hatua inayolenga...
2 Reactions
5 Replies
170 Views
Makala ifuatayo bado ipo katika hatua za uandishi, nitakuja kurekebisha na kuboresha. Nimeitumia AI kunisaidi uandishi hivyo Kuna makosa kadhaa ========================== Tanzania ina hazina ya...
1 Reactions
0 Replies
57 Views
Historia ya afrika tunadanganywa na kufichwa mengi sana, kwa mfano shuleni sikuwahi kufundishwa kwamba muslims walivamia Christian Ethiopia kwa lengo la kuitawala ethiopia, nilifundishwa tu...
0 Reactions
11 Replies
143 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema haijaridhishwa na utekelezaji wa baadhi ya manunuzi yaliyofanywa na Chuo Kikuu cha Mzumbe, baada ya kubaini ukiukwaji wa sheria na...
0 Reactions
3 Replies
75 Views
Ukiachana na msemo " maisha yenyewe mafupi " ni msemo gani mwingine hutumia kujifariji ukitumia pesa nyingi Kwenye maisha kuna mambo mengi sana, kuna wakati mtu unaamua kujipa kafuraha unatumia...
9 Reactions
54 Replies
772 Views
Hali si shwari ndani ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), baada ya kubainika kuwepo matumizi mabaya ya mabilioni ya fedha za shirika, balaa hilo limegundulika baada ya timu mbili za Wakaguzi...
5 Reactions
16 Replies
731 Views
Wanajeshi na maafsa wa usalama waliojiunga kwenye sekta za ulinz uko USA tokea 1980 hadi sasa must kutumika uko mashariki na historia nzuri ya mwanajeshi au afsa wengi wameijengea uko
0 Reactions
2 Replies
48 Views
Huo mshahara wako ni hela ya yule kaka mrefu, ya perfume tu, tena moja. Una ringa Nini, mshahara wako ni wa kupewa mkononi, unaleta ujinga hapa! Haya ni majigambo niliyowahi kutana nayo...
9 Reactions
72 Replies
964 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…