TRA INNOVATION PORTAL

TRA INNOVATION PORTAL

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
463
Reaction score
543
Habari ambae amefanikiwa kutuma wazo lake kwenye mfumo wa TRA INNOVATION PORTAL naomba anielekeze jinsi ya kutuma wazo
 
Habari ambae amefanikiwa kutuma wazo lake kwenye mfumo wa TRA INNOVATION PORTAL naomba anielekeze jinsi ya kutuma wazo
Unatumia PC kwanza au kwa maelekezo zaidi tembelea channel yao ya wassapp
 
Habari ambae amefanikiwa kutuma wazo lake kwenye mfumo wa TRA INNOVATION PORTAL naomba anielekeze jinsi ya kutuma wazo
JE HAUNA TIN? , FUATA TARATIBU HIZI UPATE TIN BURE NA UWEZE KUTUMA WAZO BUNIFU TRA USHINDE HADI MILIONI 50.

1. Ingia kwenye tovuti ya TRA
2. kwenye kipengele cha huduma mtandao (e-service) bofya innovation portal
3. Unahitajika kuwa na TIN.
4. Huna TIN? Jisajili kupitia Taxpayer Portal kwa kubofya TIN Registration.
5. Usajili wa TIN ni BURE. Ukishapata TIN itumie kujisajili kwenye innovation portal
6. Utapokea One Time Password(OTP) Hakikisha namba yako ya simu ni sahihi.
7. Badili neno la siri na sasa upo tayari kutuma wazo.

Mwisho wa kutuma ni Julai 31, 2026.
 
Back
Top Bottom