DODOMA: Nabii Tito afutiwa mashtaka baada ya kubainika ana matatizo ya akili

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
01FBA6B4-E198-4CAC-BC41-D0C48B0FF9A7.jpeg

Mahakama ya Wilaya Dodoma imemfutia Onesmo Machibya ‘Nabii Tito’ mashtaka ya jaribio la kutaka kujiua baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kuwa ana matatizo ya akili.

Baada ya kutoa hukumu hiyo leo, Hakimu wa Mahakama hiyo, James Karayemaha ameamuru atibiwe
 
Mmmh bado Dr. Shika soon na yeye atawekwa mtandaoni. Miluzi miiingiii ila mi mbwa wangu ataendelea kubweka one, one one . Triiiii
 
hawawezi kutuamisha kwenye mada ya 1.5trillion kwenye ujinga wao huo, na haami mtu na wala hatusahau kila siku ni rudisha 1.5tr.
 
Tumeendelea siku hizi.
Kidogokidogo tunaanza kuingia uchumi wa kati.
Vichaa hawatavaa magunia na kula majalalani tena bali watakuwa mpaka acount bank.
Nikimjua aliyetufikisha hapa naacha kazi ili nimuunge mkono kwa juhudi hizi.
 
Back
Top Bottom