1961 : Wakoloni na Viongozi wachache wa Tanzania
1962: TANU
1964-1965 - Karume + Nyerere
1977 : Watu 20 kwa masaa 3 bungeni
20.... Katiba mpya ????????
Katika kukenga uelewa kuhusu Ugonjwa wa Saratani, kupitia Maelezo Podcast tumemualika Daktari Bingwa wa magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (OTCI), Dkt. Chrispin Kahesa...
https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB
LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo...
"Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na...
Wadau hamjamboni nyote?
رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَىْءٍ عَلِيماً
“Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the...
Connecting East Africa: The Infrastructure That Binds the Region
• Standard Gauge Railway (SGR) — Tanzania’s SGR is being developed toward the western corridor, connecting Dar es Salaam with the...
Mji wa birmingham, ndio unaongoza kwa kuwa na wahamiaji wengi kutoka uarabuni, hii imelepekea kuchaguana katika nafasi za juu.
Uk na europe inaangamia mdogo mdogo
Kwenu Waislamu
Ingekuwa ni msikiti hapo, dunia ingekuwa imetokwa jasho kwa kelele za Waislamu mitandaoni.
Huo wala sio mujiza kwangu, jengo halijashika moto sababu ya uimara wake na pia...
Wakuu,
Hakika huu ni ushuhuda wa ukuu wa neno la Mungu lisiloweza kuteketezwa na chochote kamwe.
Moto mkubwa umezuka katika nyumba moja iliyopo Kitongoji cha Kiurei, Kata ya Kiranyi, Wilaya ya...
Tangu juzi naangalia status za whatsapp za watu hapa kazini, kama watu sita hivi wamempost Makamu wa Raisi Mteule, Deo Ndejembi. Sasa nakuwa najiuliza, una mposti mtu ambaye hata hakujui ili...
Enyi wafugaji sikieni!
Katika msimu huu wa mvua unaotarajiwa kuanza nataka nilime mashamba makubwa pale Morogoro.
Sasa nasikia ninyi wafugaji (wamasai n.k) huwa mnatabia ya kulisha mazao ya watu...
Moja ya kitu kizuri huwa ni kina pata favoritism... Ukiwa mtu mzuri au good looking utapata privilege nyingi sana!
Subconsciously binadamu au mnyama yoyote kaumbwa kutukuza kitu kizuri, ndo maana...
Kupitia Mawakili Tibe Kenneth Rwakatare, mtoto wa marehemu Mchungaji Dkt. Gertrude Pangalile Rwakatare, Nicholas Mugarura, Mwesigwa Muhingo na David Saire Manoti, wametoa tahadhari kwa umma...
Ukiwa sehemu ambayo sio sahihi, hata utoe kilicho bora zaidi kwako, wala hakitatosha.
Lakini ukiwa sehemu sahihi, uwepo wako tu unatosha kuwa sababu ya kusherehekewa na kuthaminiwa.
Kuna kitu nimekitafakari katika betting
Tunatumia sana hisia kuliko akili ndo maana tunakosa na wengine tunatumia ushabiki mkubwa
Wengine record za timu na wengine matokeo ya timu
Lakini ukweli...
Ebana wakuu kuna hii issue baadhi ya watu wamekuwa wakiwaona wanaobeti kama watu waliopotea. Wengine mpaka wanaenda mbali na kisema dini zinakataza.
Okey lets break it down niggaz.
Kubeti ni...
wakati huu mungu ananionesha kijana mmoja ambae amelewa sana na ametumia pesa nyingi sana kwa ajiri ya kununulia pombe kiasi kwamba mpaka anajutia, mungu ananiambia nimsihii sana uyu kijanana...
mimi nikiwa kama mzee wa dua nimevisikia vilio venu sigle mother wote kwa kweli mnanyanyaswa sana sasa ninasema mimi ndie nitakae kua kimbilio lenu wote mtapata falaja kwa kupitia mimi