Serikali acha kuonea watu.

Serikali acha kuonea watu.

Mopak

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2024
Posts
2,645
Reaction score
5,697
Nimesema hivyo nikiwa na maana yangu. Lissu sio mhaini bali wananchi ndio wahaini. Wao ndio walikinukisha na sio lissu au chadema. Serikali ipambane na wananchi yaan iwakamate woote nchi nzima iwaweke selo na kuwafungulia mashtaka na sio lissu. Jamaa wasimuonee bure. Cha kwanza yeye alikuwa ndani tukakinukisha sisi. Acha nijikonyaginize kwanza afu nije kuandka upya coz hapa sijaelewa nilichokiandka. AU MNAONAJE WADAU SIJAANDIKA VIZURI
 
Sikutaka mtu acoment huu uzi lakn. Huu uzi nataka niutumie mwenyewe labda tu ulike na mafire bila kusahau mitikisiko pamoja na vichekez.
 
2. Ccm wanajifanya kujua kisichojulikana na wakishindwa wanaanza kubambikizia watu yasiyoeleweka. Serikali iliyo imara inakuwaje mtu akitekwa wanakuja na ripoti ati katekwa na wasiojulikana? Mfumo wa ulinzi walishauvuruga kiasi kwamba hawajuani. Ni sawa na sio kwa ubaya mahakama lazma ifanye kaz lakini kwa nin walio na makosa wapo nje wasio na kosa ndani? Ccm mnaruhusu mtu anaanzisha genge tena akitangaza hadharan kwamba atauwa raia watakao toka kudai haki zao na bado mpo kimya tu. Mkiambiwa ukweli mnateka watu na kujifanya hamjulikani. NTAWAROGAAAA. Sitak coment ya mtu asiyejielewa
 
Wakikuwahi utapona
 
Mda mwingne tumieni hata akili za kuvukia barabara kuelewa jambo. Watanzania sisi ni mafala na ungiri hautatuisha. Sip ya nne hadi sasa yaan halipandi kabisaaa
 
Nimesema hivyo nikiwa na maana yangu. Lissu sio mhaini bali wananchi ndio wahaini. Wao ndio walikinukisha na sio lissu au chadema. Serikali ipambane na wananchi yaan iwakamate woote nchi nzima iwaweke selo na kuwafungulia mashtaka na sio lissu. Jamaa wasimuonee bure. Cha kwanza yeye alikuwa ndani tukakinukisha sisi. Acha nijikonyaginize kwanza afu nije kuandka upya coz hapa sijaelewa nilichokiandka. AU MNAONAJE WADAU SIJAANDIKA VIZURI
Nenda pale ikulu ukawambie hahahaha
 
Back
Top Bottom