Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Zamani ubaharia hapa kwetu Tanzania ilionekana ni kama kazi za hovyo,,wasomi wengi hawakukimbilia kusoma ubaharia,,,na hata wazazi wengi hawakupenda watoto wao wasome ubaharia ,, Sijajuwa kwa sasa...
7 Reactions
51 Replies
587 Views
Naomba bodaboda wapewe elimu ya matumizi ya Double hazard lights, asilimia kubwa wanazitumia kama fasheni lakini ndiyo chanzo kikubwa cha ajali. Mfano amewasha hazard halafu yupo mbele na aliyepo...
3 Reactions
42 Replies
821 Views
Hapo ni magumashi na wanalia timing tu, hakuna kitu wanafanya au yeye anafanya kita leta constructive change. Kubali ukatae that's a plain truth.. Kesi week nzima, haiishi... Mara mtu aambiwe...
6 Reactions
4 Replies
172 Views
Wakazi wa Kijiji cha Mbwera, Kata ya Mbuchi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, wanalazimika kuning'iniza simu zao kwenye paa la baraza la nyumba mojawapo kijijini hapo ili kupata...
0 Reactions
1 Replies
99 Views
Niliajiriwa kwenye kampuni binafsi kama tally clerk na baadae nikajifunza funza wakani badilisha position nikawa nafanya kama Data entry Clerk na jumla kazi nilifanya kwa miaka 5 Mwaka huu mwezi...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nawasalim salam Sisi sote kama wakristo tunao wajibu mkubwa sana juu ya kumuishi na kumtangaza KRISTO katika kazi na maisha na matendo yetu...
9 Reactions
26 Replies
416 Views
Wakati mwingine tunaweza kuona maendeleo yetu kuwa ni madogo kwa sababu tunaangalia sana watu walioko mbele yetu. Unaweza kujiuliza: “Bado sijafika kule ninapotaka, kwa hiyo kuna maendeleo...
3 Reactions
24 Replies
184 Views
Anonymous
Halmashauri ya Mji wa Makambako Mkoani Njombe, hamuoni kuna haja ya kuzibua mitaro ya maji kabla ya kipindi cha mvua hakijafika? Huu ni mwaka wa pili sasa mfereji huu ukiwa umeziba bila kufanyiwa...
2 Reactions
5 Replies
178 Views
Mwanaume mmoja ameripotiwa kukamatwa baada ya kutuhumiwa kufanya kitendo cha ukatili wa kingono dhidi ya samaki, huku akidai kuwa alifanya hivyo kwa sababu samaki huyo alikuwa na harufu aliyodai...
6 Reactions
48 Replies
576 Views
Habari wanajamii? Ijumaa nilikuja na uzi unaozungumzia walimu kumlazimisha mama kuandika/kusaini barua ya mtoto kuacha shule. Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha...
0 Reactions
12 Replies
186 Views
Anonymous
Tunapata changamoto kubwa katika huduma ya Mwendokasi kwenye ruti ya Kimara–Mlonganzila. Gari linaweza kuchelewa kufika kituoni kwa muda wa saa mbili hadi tatu, hali inayowasumbua sana abiria...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Niliwahi kupata ufumbuzi juu ya haya mawe,lakini kwa bahati mbaya sikumaliza elimu kutoka kwa aliyekuwa akinipatia. Je,wajuzi wana nini cha kusema kuhusu mawe haya? Cc: Seran Mshana Jr Rakims
3 Reactions
23 Replies
365 Views
Anonymous
Watoza ushuru Stendi ya Magufuli wanatoa risiti za aina mbili, wana risiti za Sh 500 na za Sh 2,000, mtu wa Bajaj ukiingia kuchukua abiria wanakuomba Sh. 1,000 kisha wanakupa risiti ya Sh 500...
0 Reactions
2 Replies
211 Views
Mimi mpaka leo naamini Princess DIana aliuliwa na British Royal Family Ile ajali haikuwa ya kawaida kabisa. Mwaka 1996, Diana aliandika barua akihofia kuwa aliyekuwa mumewe (Charles) alipanga...
9 Reactions
40 Replies
623 Views
Mimi ni mkazi wa Mpiji Magohe. Kero yangu ni kuhusu huduma ya maji. Tangu DAWASA walipopitisha bomba la maji katika eneo letu, hakuna maji yaliyowahi kutoka hadi sasa, licha ya kuwa tayari ni...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Huwa kuna stori nyingi ambazo sio halisia au tuseme wanaosimulia wanaongeza chumvi nyingi lakini inapokuja kwenye uhalisia mambo yanakuwa tofauti kwa muhusika. Embu tukumbushane wakuu tuliyopitia...
13 Reactions
49 Replies
562 Views
Anonymous
Kuna changamoto pale Stendi ya Magufuli, Mbezi last week mke wangu alishukia hapo Saa 5 Usiku, wakati anatoka nje walinzi walimkomalia alipie Sh 2,000 ndiyo atoke nje ya stendi. Kwa kuwa alikuwa...
1 Reactions
3 Replies
105 Views
Wakubwa naaamini hum ndani Kuna watu wa wa TCRA au wizara husika , haya makampuni ya simu ni kama yanajiendeshe yenyewe / yanajiamulia mambo hizi ni kero kwangu imekuwa to much 1.kifurushi...
1 Reactions
3 Replies
114 Views
Anonymous
Abiria wa Mwendokasi tuna changamoto ya kadi kutopatikana, tukiomba kupatiwa tunaambiwa hazipo unalazimika kumbembeleza mtu akukatie ticketi kwa kadi yake. Upande wa simu kwa watu wenye iPhone...
0 Reactions
1 Replies
60 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…