Wakuu!
Hivi hawa wanao sajili laini ukimkamata amesajili laini zaidi unamfanyaje wakuu?
Yani nimesajili laini kwa wakala, halafu nacheki kwenye system baada ya kupiga *106# kucheki namba...
Kutoa matusi hadharani ni kosa la jinai kwa mujibu wa Sheria za Nchi. Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 ya Sheria za Nchi imeweka makosa ya aina tatu yanayohusu utoaji wa matusi ambayo...
Kama inavyosemakana binadamu alivyoumbwa ametokana na wanyama tena ikaonyeshwa kama nyani nadhani kwwnye uumbajiMungu alisahau baadhi ya vitu.
Ukiangalia nyani miguu yote ina vodole ambavyo...
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imezialika kampuni za Marekani kuwekeza katika rasilimali kubwa za madini za nchi hiyo, huku ikitaka Marekani kupunguza vikwazo vya kiuchumi na kuachilia...
Mwili wa kijana anayefahamika kwa jina la Aron Enock Urio, aliyekuwa akiendesha bodaboda eneo la Tengeru Kwa Fundi, umeokotwa katika shamba lililopo Kitongoji cha Madira, Kijiji cha Singisi, Kata...
Wakati huu ukiwa nyumbani, sikiliza MAELEZO PODCASTS upate elimu na ufafanuzi juu ya uwepo wa mvua kubwa za El Niño na tahadhari za kuchukua🎙️
🎙️ Spotify: open.spotify.com/episode/0gcaIl…
🎙️...
Kuna dada mmoja mitandao kalalamika kuibiwa pesa zake kwenye account za CRDB .Baada ya kupost aisee comment zilizokuwepo hapo.
Unaweza kuogopa kuweka pesa CRDB.
Katika moja ya matamanio ya wana dunia wengi ni kupata mafanikio makubwa katika upande wa kifedha, hivo husababisha watu kujaribu kutumia njia nyingi sana ili kuongeza nafasi zao za kufikia...
Nilieleza jinsi ambavyo shetani ni roho hutafuta watendea kazi wenye mwili.
Kumuangamiza mtu kirahisi humtumia ndugu wa nyumbani mwake.
Na Mungu ni hivo hivo, huwalinda na kuwatumia wateule wake...
Taharuki imeibuka katika Shule ya Msingi Makota, Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa Vijijini, baada ya wanafunzi 13 wa Darasa la Saba kudaiwa kupigwa wakati wa maandalizi ya mtihani, huku baadhi yao...
Na Mwandishi Wetu
KATIKA kuunga jitihada za wajasiriaamali wasusi,kampuni inayoongoza katika bidhaa za nywele nchini, Darling Hair imepanga kuhakikisha inawainua na kuwanufaisha wasusi katika...
1. Shughuli za Matibabu na Upasuaji
Upasuaji mkubwa: Huhitaji chumba maalum cha upasuaji chenye mazingira yasiyokusanya wadudu (sterile).
Vipimo vikubwa vya picha: Huwezi kuweka mashine za MRI...
Baada ya hayati Magufuli kujitahidi kushawishi Taasisi ya Mahakama kuanza kazi ya kutunga sheria na utaratibu wa mahakama ya Mafisadi, inaonesha nchi haikuwa tayari kulipokea wazo hilo kwani hadi...
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda Jijini Lusaka kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa...
Habari ndugu wanajamii
Sisi walimu wa ajira mpya wilaya ya Kwimba-Mwanza tarehe 31/08/2026 tumelipwa kwenye account zetu shillingi laki tatu na elfu sitini tu (Tsh.360,000/=) kama hela yetu ya...
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeeleza kuwa ujenzi wa SGR kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza umefikia asilimia 69.2%, hatua inayoonesha kasi kubwa ya utekelezaji wa mradi huo muhimu wa usafiri nchini
Chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, uwekezaji wa takribani USD bilioni 20 unaiweka Tanga katika nafasi muhimu ya kuwa kitovu cha nishati, ukifungua fursa za ajira, kukuza...