Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Had God a plan for the universe before he created it? Did he see in his plan the fate of mankind that they will rebel against his laws, and in his planning he constructed a place/state of...
1 Reactions
6 Replies
107 Views
Kuna tatizo lipo na ni kubwa lifanyiwe kazi Ndugu zangu naanza na SISI vijana Baadhi ya SISI vijana tulio wengi tumekuwa wazinzi ,walevi na wavivu wa kufanya kazi si Wana wake wala wanaume...
5 Reactions
4 Replies
134 Views
TANZIA Kwaya ya AICT Nyarugusu, wanasikitika kutangaza kifo cha Mwl Buluba James (1997-2026) Mwl Buluba alipotea tangu mwisho wa Mwezi June 2026 alipoiaga familia yake kuwa anaelekea Mkoani...
5 Reactions
27 Replies
675 Views
Bei ya wastani ya tumbaku imeongezeka kutoka Dola 1.95 kwa kilo msimu wa 2025/2026 hadi Dola 2.05 kwa kilo msimu wa 2026/2027, sawa na ongezeko la takribani 5.13%. Ongezeko hilo linaongeza kipato...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili? Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa? Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in...
1 Reactions
12 Replies
161 Views
Hello wakuu kama wewe ni mtaalamu wa Pyhon, java-script na kutengeneza Apps nicheki haraka iwezekanavyo. Jambo la msingi ni kuwa anahitajika mtu anaejua codes na mifumo sio mtumiaji wa AI
1 Reactions
9 Replies
179 Views
Wakuu Habari za mchana huu Binafsi niseme, mimi kwa upande wangu kusamehe siyo shida na huwa inachukua muda kufungua moyo, inategemea na ukubwa kosa lenyewe. Naweza kudondosha visa viwili...
4 Reactions
18 Replies
169 Views
Mara baada ya kumpa Yesu Kristo Maisha yangu kuwa Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, ndani yangu kiu ya kutaka kumjua Mungu ilizaliwa ndani yangu Kiu ile ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba...
1 Reactions
0 Replies
73 Views
Naitaji msaada wa haraka Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano. Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani...
4 Reactions
74 Replies
715 Views
Habari Tanzania !... Natamani leo hii tungekuwa na utaratibu wa kila kaya iwe na utamaduni wa kulima mboga mboga yaani iwe utamaduni wa Tanzania nzima. Hata kama mtu au familia yake sio wapenzi...
0 Reactions
3 Replies
73 Views
Muda hausimami kwa ajili ya mtu yeyote. Leo tunasema “bado nina muda”, kesho tunasema “ningejua…” Kila sekunde inayopita haijirudii tena. Pesa inaweza kupotea na ikapatikana tena, mali inaweza...
4 Reactions
5 Replies
104 Views
Sijui ndo uafrika au ujinga ila mambo yanazidi kuwa oveziiii. Barabarani hakuna utaratibu wa kueleweka katika kuendesha vyombo vya moto. Hawa vijana waliojizira hawana wanachojali wao...
4 Reactions
20 Replies
196 Views
Tangu kukamilika kwa marekebisho ya mfumo wa umeme, hali imekuwa tete. Karibu kila siku, hasa nyakati za jioni, umeme unakatika, na hali hii imeanza kuathiri huduma nyingine muhimu—hasa maji...
0 Reactions
1 Replies
23 Views
Jeshi la zimamoto na uokoaji ni moja ya Idara iliyopo chini ya wizara ya mambo ya ndani ikijumuisha jeshi la polisi na jeshi la magereza, Jeshi hili ni mahususi katika shughuli za kukabiliana na...
1 Reactions
0 Replies
46 Views
Kwa mujibu wa maoni, hisia na saikolojia ya wananchi inaonesha hawakubaliani na Rais wao na serikali yake kwa namna inavyowaongoza. Sasa je kama anajua hakubaliki na asilimia kubwa ya watu wake...
1 Reactions
17 Replies
223 Views
Very sad, mtu kaenda kanisani kumfuata Yesu, wewe kiongozi wa kanisa kutwa nzima ni kumsakama tu binti yangu ili ulale naye. Msichana kakukataa umeanza kumsambaza eti ni mwizi, hii sio sawa...
13 Reactions
57 Replies
780 Views
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliopishwa hususan Wakuu wa Mikoa kwenda kutekeleza majukumu yao kwa kujiamini na kuchukulia dhamana...
1 Reactions
2 Replies
89 Views
Kwangu mimi, hii ni moja ya changamoto kubwa sana kwa wasomi wengi siku hizi. Nimetumia mfano wa kocha na mchezaji kwa sababu ili uwe kocha mzuri, mara nyingi unatakiwa kwanza kupitia level ya...
15 Reactions
30 Replies
286 Views
Kauli hii inatoka katika Wafilipi 2:3 inayosema: "Msitende neno lolote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake." Maana ya...
2 Reactions
10 Replies
112 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limeeleza kuridhishwa na maandalizi ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo (MOI) katika kutoa huduma za tiba za michezo kuelekea Mashindano ya...
0 Reactions
1 Replies
90 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…