Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mufindi ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Dkt. Linda Salekwa imekamata Pombe kali zinazotengenezwa kinyume na utaratibu katika eneo la Mtaa wa Pipeline Mjini...
10 Reactions
69 Replies
902 Views
Wanajiita International humanitarian promotions number wanao tumia ni ya code ya Kenya 254, wanapitia whasup, wakipata access ya simu yako wana idukua na kupata details nyingi kuhusu hata bank...
1 Reactions
6 Replies
204 Views
Baada ya kukaa foleni masaa mawili pale ubungo mataa ninaomba kujua yafuatayo. Ni hasara kiasi gani tumepata kama Taifa katika kipindi cha miaka kumi mpaka Leo kutokana na foleni hizi...
9 Reactions
168 Replies
36K Views
Habari ndugu! Nimeleta uzi huu ili uliunganishe jamii ya watanzania ambao wameathirika na uraibu wa kamari na wanaoazimia kuachana na uraibu huu. Kamari/kubeti ni moja ya janga linaloangamiza...
5 Reactions
42 Replies
461 Views
Moyo wangu unahisi kuna mtu anamendewa mazingira hayo na lolote laweza tokea....sina imani kabisa na haya magari ingawaje gari yoyote yaweza tumika kufanya unyama
3 Reactions
7 Replies
91 Views
Ndugu Wananchi wenzangu wanaoumia, Nimesimama mbele yenu kusema ukweli mchungu unaofichwa kwa nguvu nyuma ya propaganda za kisiasa. Taifa letu haliongozwi tena kwa misingi ya sheria wala Katiba...
25 Reactions
37 Replies
625 Views
Anonymous
Ukiingia WhatsApp Channels, Meta wana mkakati wa makusudi wa kupendekeza channels za ajabu kwa watanzania. Hiki kitu ni cha makusudi kabisa lakini TCRA na mamlaka za Serikali wako kimya. Wao...
6 Reactions
18 Replies
270 Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa mrejesho zaidi kuhusu mtuhumiwa inayesemekaa ni Dereva Bodaboda anayedaiwa kumfanyia ukatili wa...
3 Reactions
21 Replies
409 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Septemba 5, 2026, amekagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bahi na kuweka jiwe la msingi la mradi huo...
1 Reactions
2 Replies
379 Views
Moshi. Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga, imeonyesha kuwa na matumani ya kuwa na utajiri mkubwa wa mafuta. Mkoa wa Kilimanjaro pia umeonekana kuwa na dalili za kuwa na madini ya urani na kuufanya...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ooh mabinti wa jenzii wanaliwa jicho sana, ila ni nani alio wafundisha tangu wakiwa shuleni, si ndio nyie milenials wenyewe Ooh vibinti vya jenzii vinajiuza sana mitandaoni, kwani ni nani ni...
2 Reactions
3 Replies
57 Views
Vyote ni katika kujenga career yenye turn over ya 2M -5M per month kwa mtaji wa million 10. 1.auto electrical repair Kuwa na ujuzi wa umeme wa magari, then kuuza spare au accessories za magari...
0 Reactions
4 Replies
237 Views
Graduate mlioenda VETA mnaendeleaje? Tarehe 7 Agosti 2025, Waziri Mkuu wa wakati huo, Kassim Majaliwa, aliwataka wazazi na walezi kuhakikisha vijana wanapelekwa kwenye mafunzo ya ufundi stadi...
13 Reactions
74 Replies
1K Views
Usisite kumtamkia matamshi mema mtoto wako ili akape kufunikwa na damu ya Yessu, na roho mtakatifu ili aweze kufanya mtihani wake vyema na kuibuka kidedea. Wale mliiopeleka watoto st kayumbani...
1 Reactions
3 Replies
37 Views
Wakuu, Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat kwa jamii yetu ya kitanzania huwa tunamaanisha Hapa ni GUangdong Hotel, Dar Es Salaam, huyu jamaa kasimamishwa getini anakatazwa kuingia...
18 Reactions
148 Replies
7K Views
TAARIFA KWA UMMA DEREVA ALIYEKUWA ANAENDESHA GARI HUKU AKICHATI, KUTOA LUGHA CHAFU ATIWA MBARONI Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia, Sabatho Malima Emmanuel, mwenye umri wa miaka 32 na...
1 Reactions
9 Replies
230 Views
Huyu kaka amezungumza ukweli mtupu, tunajiachia sana siku hizi na hapo ndio tunaboronga tunakua manungaiyembe. Tujitunze kuzuia kunenepeana japo maisha yamebadilika teknolojia imerahisisha maisha...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Wakongwe wenzangu naombeni mwenye vitabu hivi soft copy anitumie dm au kama ni hard copy basi mnijuze vinapopatikana. Ukisoma hivi vitabu unapanua uelewa kama Lissu , Mshana JR, Khalifa na...
5 Reactions
14 Replies
224 Views
Ndugu zangu, Leo tuseme wazi. Kuna watu wengine sio binadamu wa kawaida. Ni Kaini. Kaini hakumpiga Abeli kwa sababu Abeli alikuwa mbaya. Alimpiga kwa sababu sadaka yake ilikubaliwa. Mafanikio...
5 Reactions
6 Replies
117 Views
Nina ndugu yangu wa damu humu JF, mama na baba mmoja. Amekata mawasiliano na ndugu wote toka mwaka 2022. Kila namba yake ikipigwa haipatikani toka kipindi hicho. Binafsi kama kaka yake mara ya...
5 Reactions
22 Replies
481 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…