Gobola church Nigeria kanisa la wale I

Gobola church Nigeria kanisa la wale I

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,011
Reaction score
61,262
Kuna kanisa linaitwa Gabola Church maana yake ni God bless the drinker.Ni kanisa ambalo wanasema lengo Lao ni kuwapa huduma ya kiroho watu wanaokunywa pombe waliotengwa.
Ndani kuna bar pombe zote mchungaji anakunywa madhabahuni waumini wanalewa na kucheza mapambio
 
Hapa Bongo Ney wa Mitego naye alikuwa na mpango wa kuanzisha kanisa la masela, sijui aliishia wapi na mpango huo. Makanisa ya ajabu ajabu yangalipo, waumini wa dizaini hiyo nao hujihesabia haki
 
Back
Top Bottom