Watu 25 wamefariki dunia, wengi wao wakiwa watoto na vijana, baada ya basi lililokuwa limebeba abiria waliokwenda katika ziara kuanguka kwenye korongo katika Kisiwa cha Fogo, nchini Cape Verde...
Habari za masiku na mda mrefu.
Nimerudi toka safari za hapa na pale.Nikaona niwajulishe kuhusu kampuni ya Meta na kesi kama mange kimambi hakifanikiwa basi mtajua mengi kuhusu serikali ya...
TAARIFA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1. Kuna kitu kinadumu kama mkanda wa ngozi?nakumbuka nina mkanda huo nilinunuliwa na babu yangu 2012 huwezi kuamini mpaka leo ninatumia huohuo japokuwa umechoka sasa mwaka jana mwishoni nikaona...
NIkicheki mzee alivyopokea matokeo mwaka huo 95 nagundua kwamba emotional intelligence yake iko juu sana tena kipindi hicho akiwa chalii kabisa.
HIyo video ya pili ninalivyokua akideal na...
Nilikua mishemishe kukusanya oda za detergents huku na kule, ni kawaida kula chocho zote msako bako Kwa bako, nimeingia hapa mara nika wakuta mateja wamejaa, ni njiani tu hawana shida hao, sasa...
MAMBO MACHAFU YALIYOVUJA KWENYE EPSTEIN FILES UKISOMA YATAKUSHANGAZA
Najua wengi mmeona sana hii kitu ikitrend bila kujua ninini?
EPSTEIN FILES NININI
Epstein files ni mkusanyiko wa mamilioni ya...
Zanziba si tu ni nchi iliyoungana na Tanganyika kuunda Tanzania, bali ni utalii.
Zanzibar inapaswa sasa kuunda shirika lake la ndege na kuchochea utalii.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar...
Imetimia miaka 9 leo tangu TUNDU ANTIPASS MUGWAI LISSU achakazwe na risasi pale Dodoma ndani ya majengo ya viongozi wa bunge yenye ulinzi masaa 24.
Leo yupo mahakamani kutetea uhai wake kwa mara...
Mazingira ya kutoroka kwa David Joseph Mghanja (Djumbe), msaidizi wa karibu wa Tundu Lissu, usiku wa Mei 20, 2026, yamevuka mipaka ya akili ya kibinadamu.
Wengi wanajiuliza: Je, kuna nguvu gani...
Kuna huyu jamaa alikua pale abood fm na ss yuko EFM redio, jamaa akiwa ktk kipindi Chake anaikebehi sana simba na kusema kila kitu ni kibaya, kwani changamoto yake ni nini uyu mchambuzi?
MREMBO JENNIFER MULFORD kutoka ATLANTA, MAREKANI, ameibua maoni mseto mitandaoni baada ya kuripotiwa kuacha kazi yake ili apate muda mrefu wa kumnyonyesha mpenzi wake mwenye umri wa miaka 36...
Kuna msemo kwamba "don't judge book by its cover"
Sawa na usimhukumu mtu kwa mwonekano wake;
Kisaikolojia sivyo wanadamu wanacyofanya kazi.
Kama mtu humjui na hujapata nafasi ya kuongea naye...
Haya yote ni kutokana na kuathrika na kuangalia porno toka utotoni, nikajikuta kuwaona wadada wenye makebo makubwa ni viungo vya starehe na sio watu wa kawaida
Niliwafanya kila namna, niliwageuza...
Wanabodi
Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo...
Sheikh Nurdin Kishki, kutoka Taasisi ya Al-Hikma, amefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Juma Ibrahim, maarufu kama Ostadh Juma na Musoma, akidai kuchafuliwa jina lake...
Nmerudi kutoka likizo nimekuta mwenye nyumba kampangisha mpangaji mwingne mpya.
Aisee siku 2 tu nimekaa hapa nmeshindwa kuvumilia makelele, nmemwambia mwenye nyumba anirudishie kodi nihame au...