Muda ni wa thamani sana, abiria huona ni bora kulipia 1500 ya bajaji kuliko buku ya daladala, safari ni ile ile lakini bajaji itatumia dakika 20, daladala saa zima
Habari zenu Wana-Jukwaa,
Lengo langu la kuandika uzi huu ni kutoa ushauri na wito kwa Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu namna linavyotumia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Kazi...
Kuna nini hapo dasilamu mujini?..Nani kanyakuliwa na Mnyezi Mungu kwenda kuungana na Muumba..Huku nilipo limeibuka shangwe n vigelegele baada ya tangazo la yule msaidizi wake mwenye kichwa...
Kuna kipindi miaka ya nyuma nilipataga deal la kuua mbwa koko wasio na wenyewe wanaozurura mtaani kwa kutumia bunduki
Siku ya kwanza ilienda vizuri niliua mbwa 47 kwenye vitongoji viwili siku...
Wananchi katika kikao kilichofanyika Septemba 4, 2026 cha ushauri Wilaya ya Mpanda (DCC) wamehoji sababu ya umeme ndani ya Manispaa ya Mpanda kila inapofika Saa 11 Jioni na Saa mbili usiku umeme...
ANGALIZO
AGUZA=AGIZA
NIKICHOKIONA=NILICHOKIONA
HABARINI MA DADA WAJASIRIAMALI
JANA NIMESHUKA MIKOCHENI B NILIKUWA NAELEKEA MAENEO YA SHULE YA USHINDI KWA NYUMA
NILICHOKIONA NILIUMIA SANA...
Ndugu zangu nilisema nipigana na tabia mbaya ya kutamani wanawake ila sasa naona shetani naye anazidi kunipa majaribu..
Leo asubuhi kipindi najianda kwenda kwenye mihangaiko.. Yule jirani aliye...
Afrika kusini wamekimbiza wahamiaji haramu, waliopitiliza vibali, waii, majambazi na wadaa poa , wanao jiuza kama ajira.
Uganda wakafuata kufukuza wageni wa namna hiyo na sasa Kenya kuaznia leo...
Leo Zanibar kabla y jua kuelekea Magharibi kutakuwepo na ibada ya mazishi ya Mume wa Rais.
Viongozi wakuu wastaafu na waandamizi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano na mapinduzi ya Zanzibar...
Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan kwa thamani ya Shilingi Bilioni 1.8.
Wachimbaji hao wamenunua...
Madereva Dalala jijini Mbeya wameanza mgomo wao ambao wamedai utadumu kwa muda wa wiki moja kutokana na kuzitaka Bajaji kuacha kutumia ruti ambazo zinatumika na dalala.hali hii imekuwa kero kwa...
1. Katika Vipaza Sauti
2. Katika AC na inayokulenga Wewe hasa
3. Katika Kalamu unayopewa au unayoikuta
4. Katika Camera Maalum inayoshikwa na Mtu Maalum
Nyinginezo unaweza ukaongezea nawe...
Bila ya kuwa Mnafiki kama ilivyo kawaida yangu Kiuhalisia naanza Kwanza kumlaumu Yeye kwa kupenda Kujifanya ndiyo Nyerere wa sasa wa Tanzania wakati akijua kabisa Tanzania ya sasa ipo mikononi mwa...
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Joseph Warioba, amesema matumizi ya nguvu yanaweza kuleta utulivu lakini hayawezi kujenga amani ya kudumu, akitaka nchi hiyo irejee kwenye misingi ya usawa...
Takwimu mpya zinashtua na kuumiza kichwa kwa pamoja: Utajiri wa Dola Trilioni 1 ($1,000,000,000,000) wa Elon Musk unaweza kuendesha bajeti zote za Tanzania, Kenya, na Uganda kwa miaka 14...
Habari, mimi ni mkazi wa Gongo la Mboto Kituo Kipya. Kuna club/bar inaitwa UBENA SPORT CLUB iliyopo karibu na reli ambayo imekuwa ikitusumbua sana sisi wakazi wa eneo hili kutokana na kelele kubwa...
KAMBI MAALUM NA MAFUNZO YA MATIBABU YA MAUMIVU YA MAGOTI NA MABEGA KUELEKEA MICHUANO YA AFCON 2027
Dar es Salaam: 07/09/2026
Uongozi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) unapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.