Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukweli usemwe tu, Millenial wameishia kuwa wahanga wa program za kibepari kutoka kwa mababi zetu. Bado wanaimani potofu, bado hawana uhuru wa kifikra.. Ila sisi, Gen Z tumeibuka na kuanza ku...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Cha bure gharama Kama VISHOKA WALIWAUNGA WAKAWADANGANYA TANESCO WAMEANZA MSAKO WA NYUMBA KWA NYUMBA MAENEO TAJWA NA SASA HUKO MWANZA NAKO KUMEKUCHA MJIPANGE WANATEMBEA NA MAPOLISI
5 Reactions
9 Replies
329 Views
Kwa sasa betting addiction ni Moja ya janga la KITAIFA haswa Kwa vijana wa Genz . Serikali idhibiti betting mapema. Uraibu wa betting umeanza kuwa janga kubwa la kijamii, hasa miongoni mwa vijana...
20 Reactions
136 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwa kuwa mahakama imepiga chenga ya mwili juu ushahidi wa Samia, Mpango na Majaliwa basi na Tundu Lissu naye apige chenga ya mwili juu...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Wasalaam Kuna jambo limenifanya nitafakari sana baada ya kuwaona baadhi ya viongozi wakifika kumpa pole Rais Samia kufuatia msiba wa mume wake. Kutoa pole ni jambo la kibinadamu. Hapo hakuna...
3 Reactions
13 Replies
153 Views
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika: "Kuna msamaria mwema ndani ya Jeshi la Polisi kanijulisha kwamba Doctor Conrad Agonza ambae alipigana na Traffic yupo kituo cha Polisi...
2 Reactions
2 Replies
258 Views
Nimekutana na scenarios tatu za namna hii kwenye mikoa tofauti. Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii...
10 Reactions
37 Replies
1K Views
Hongera kwa kwenda Hijja, hongera kwa kuvaa nguo za heshima, hongera kwa kujua mwanamke wa kiislam kuishi vipi, hongera kwa kuacha kutumia social media kwa kufanya vitu ambavyo maisha yako ya...
4 Reactions
19 Replies
200 Views
Leo ndio nimejua kuwa Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena iko pia visiwani Zanzibar. Nimejua hayo kupitia taarifa ya Makamu wa Rais, akitangaza kifo cha Mume wa Rais Samia leo. Ikumbukwe...
7 Reactions
65 Replies
2K Views
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya...
3 Reactions
17 Replies
328 Views
Tangu Septemba 8, 2026, zaidi ya Ofisi 100 za Mawakala wa mabasi zilizopo CBE, Area C, Maghorofani, Bahi Road zimefungwa, shughuli zimesimama kwa zaidi ya Saa 60 sasa, cha kushangaza, ofisi hizi...
1 Reactions
5 Replies
232 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ametoa wito kwa Afisa Habari kuhakikisha wanatoa taarifa zenye tija...
1 Reactions
2 Replies
223 Views
Habari wadau, Binafsi huwa najiuliza sana kuhusu biblia na sisi waafrica, mfano mimi mmasai je barua ya wakorintho inanihusu nini mimi mmasai ? Barua ya wafilipi inanihusu nini ? Fikiria...
11 Reactions
42 Replies
426 Views
Kila mwaka ifikapo Septemba 10, dunia huungana kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani, siku maalum iliyoasisiwa mwaka 2003 na Jumuiya ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua (IASP) kwa ushirikiano na...
0 Reactions
2 Replies
62 Views
Utangulizi: Tulipoishia mwezi uliopita, Mwezi uliopita, kama mtaalamu na mzoefu wa utoaji huduma (Customer Experience/CX), niliorodhesha dalili za huduma mbaya Tanzania: vitu kama"chenji na...
0 Reactions
0 Replies
43 Views
Pata picha mbali mbali za uzinduzi wa Tamasha la saba la kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa nchini uliofanyika hivi karibuni makao makuu ya Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB)mjini Moshi Mgeni...
1 Reactions
3 Replies
102 Views
Elininyo elininyo tubuni damu za wale watoto hazitawaacha salama. Nyie mnajiona wajanja ila nawaambia zile damu ni mbaya sana kwa hili taifa. Viongozi wa dini mnasisitiza tuliombee taifa wakati...
2 Reactions
1 Replies
55 Views
Kuiba ni kuchukua kitu cha mtu bila ridhaa yake. Kampuni ya Vodacom mnaiba kupitia songesha. Mtu anakuwa hajaomba kusongesha lakini anashtukia anapata ujumbe kuwa kiasi fulani kimekatwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…