Labda mniambie wajuvi ambao mnajua jamii nyingi za kitanzania na makabila mbalimbali tamaduni zao
Na utu uzima wangu huu ni wapi, ambapo mwanaume anamsujudia mwanamke? Tunaacha kumpigia magoti...
Mjasiriamali kijana Ifra Ahmed, anayejishughulisha na uendeshaji wa saluni za kike na za kiume, ameeleza namna wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaohudhuria mikutano ya kimataifa wanavyochangia...
" vimvua" vilianza August, mpaka leo September hakuna mvua ya maana ya kupanda mazao. Hivyo majira yamebadirika.
Ushauri wa Nyerere does mot hold any longer!
Ila tayarisha mashamba
Halafu na mimi ningeweza kuishi vizuri .
Alikuwepo yule Kiboko ya Wachawi ambaye ukitaka tu kufanya appointment naye ilikuwa lazima umpe sh laki chache.
Kama huna connection lazima ubebeshwe vyombo na wale wahuni wanaoweka matangazo ya kazi kwenye nguzo za umeme.
Hivi umewahi kujiuliza mwonja chakula cha Rais kasomea kozi gani na ana elimu gani...
Mamilioni ya watu duniani hutegemea samaki na mazao yatokanayo na samaki kwa chakula chao na uchumi wao.
Kuna zaidi ya jamii 30,000 za aina tofauti ya samaki huko baharini na kwenye maji ya...
Hiii sijui Kila siku laki ya mchezo inachangia Umalaya kwa wanawake
Udanganyifu kwa wenza wao kutokana na Pesa wanazopewa
Presha kwao na kwa wapenzi wao
Ni Bomu kubwa sana tupo na mtaona kwenye...
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini...
Mheshimiwa Bekir Gezer, Balozi wa Uturuki hapa nchini akimfariji, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa...
Hivi karibuni, baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumzia hali ya uchafu katika Jiji la Dar es Salaam, tumeshuhudia baadhi ya viongozi katika ngazi za Halmashauri wakianza kuchukua hatua na...
Ujumbe wa Mawaziri kutoka Oman wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar...
Wanaume Wengi ni wazembe wa kujitaftia maarifa ila ukitaka kuweka confidence na kuweka ego au aura !
1. Soma sana makala , vitabu na majarida ya topic kadhaa hii ni tabia yangu toka shule Mpaka...
Vijana wa Makachu, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11...
Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na...
Wakuu wa Mikoa, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba...
Viongozi wa Dini, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11...
Ukiwauliza watu kumi hapa Tanzania kama wanatumia jamii forums huenda sita au saba wakasema hawaitumii, wawili au watatu wakasema hata hawajawahi kuisikia. Unaweza kusema nimekuza sana mambo...
Ulikuwa wapi wakati Marekani iliposhambuliwa na magaidi katika tukio la September 11 mwaka 2001?
Leo wamarekani wanatimiza miaka 25 (umri wa mtu mzima) baada ya mkasa wa kushambuliwa majengo ya...
Leo hapa Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja...