jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,266
- 43,042
NAtaka kuhamisha makazi na harakati zangu za maisha kiuchumi na kijamii naombeni muongozo.
Katika hali ya maisha,upatikanaji wa chakula,makazi,fursa za kiuchumi.
Kwasasa nipo Singida ila nataka nisogee ukanda wa pwani nikajitafute Wilaya ya Rufiji hususani ikwiriri imenivutia zaidi.
Pia naulia na mabasi ya kufika huko nikipata muongozo nitashukuru zaidi.