Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi nyinyi watu mnaokwenda baa halafu mnaagiza chupa moja tu ya maji na kukaa nayo zaidi ya masaa matatu, kichwani zinawatosha kweli? 😂 Wenye baa, wekeni utaratibu mpya au mpandishe bei ya maji...
6 Reactions
22 Replies
526 Views
Anonymous
Habari, Sisi ni wakazi wa Sokoine ndani ya Manispaa ya Songea, Mkoa wa Ruvuma. Tuna kero kubwa ya upatikanaji wa maji. Mara nyingi maji hupatikana mara moja kwa wiki, na kwa nadra sana hupatikana...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezielekeza Wilaya na Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinafanya kazi ya...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
https://www.youtube.com/live/8izDGvhF82E?si=pbg9TRphPWkO8XbD LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 14, 2026 anazungumza na wananchi wa Itilima, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo...
0 Reactions
1 Replies
74 Views
Sehemu hii ya pili pia ni mfano hai, Angalizo Haya maandiko ni sehemu ya kupata Elimu kwa wanao,walio na watakao. Katika sehemu ya kwanza tuliona mfano mmoja lakini takwimu zaonyesha ni maelfu ya...
0 Reactions
5 Replies
168 Views
Kuna mmoja alinoacha nikiwa na miaka 20 (niilimwona pia katika Tv) karudi na hata hajapumzika Wiki akaanza Kuniulizia nami nikamwambia huyo aliyemuuliza amwambie kuwa nami nasubiria Ndege ya Pili...
2 Reactions
5 Replies
382 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kujiandaa kutoa huduma bora za kibingwa na kibobezi wakati wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo imeendesha...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Poleni na majukumu, naomba mnifikishie kero yangu kwa Wizara wanaohusika na Barabara. Barabara ya Mwasanga Mbeya kutokea daraja la Tulia ni mbaya sana, kwanza ni barabara ya vumbi pia haina...
1 Reactions
1 Replies
106 Views
Kila siku tumekuwa tukitafuta mchawi wa umaskini wa Afrika. Tunalaumu ukoloni, tunalaumu Marekani, tunalaumu Ulaya. Lakini ukweli mchungu unaouma zaidi ni kwamba: Hakuna adui wa nje anayeweza...
3 Reactions
3 Replies
84 Views
Mume ni mmoja, lakini ana wake wawili: mke mkubwa na mke mdogo. Mke mkubwa aliokoka. Baada ya mume wake kusikia mafundisho ya Injili, alimwacha na kukimbia, akamuacha kanisani.Baadaye, alipooa mke...
1 Reactions
7 Replies
213 Views
Tuko kwenye kipindi kipi? Na je huko mbele Taifa litakuwaje?
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Wewe unaweza kabisa kumkata binadamu mwenzako kichwa, ukiona ng'ombe anachinjwa hofu anayokuwa nayo unamuona anatetemeka kabisa lakini wewe unaendelea kushusha panga, that's why nikachagua kuwa...
7 Reactions
28 Replies
249 Views
Ili kuchangia hoja yenye mashiko kwenye nyuzi fuata hatua hizi: 1. Soma muktadha - Angalia hoja zilizopo na mwelekeo wa mazungumzo. 2. Thibitisha uhalali - Hakikisha hoja yako ni sahihi (tumia...
10 Reactions
36 Replies
314 Views
Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha...
2 Reactions
6 Replies
134 Views
Maisha ni juhudi yako na upambanaji wako hamnaga bahati katika maisha usijidanganye.kula kazi wasela wangu maisha inakutegemea.
5 Reactions
5 Replies
86 Views
Nimeikuta hii makala leo katika gazeti la Daily Nation Kenya. Ni mahojiano mtangazaji wa NTV na MwanasheriaAmbrose Rachier ambaye ni Mwanachama wa siku nyingi wa Freemason. Mahojiano yamenivutia...
11 Reactions
64 Replies
13K Views
Kwenye hii dunia vitu vingi vimeumbwa viwili viwili: binadamu, wanyama, wadudu Hata kwenye tabia zipo nzuri na zipo mbaya Watu wapo wema na wapo wabaya Hapa sina maana ya muonekano wa mtu, I'm...
27 Reactions
241 Replies
3K Views
Asubuhi ukiingia Twitter/X kila Mtanzania aliyepo huko ameposti Tweet ya maombi kushukuru mungu kuamka salama, maombi au sala ya kuomba kwa kwa ajili ya siku mpya, nukuu za maandiko ya Biblia na...
8 Reactions
33 Replies
346 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…