Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nje na kushusha garama za umeme na kufanya usikatike itakua ngumu sana kuwaambia wananchi kua bwala lina faida,umeme mwingi na wakutosha (hakutokua na tofauti kama zamani)
5 Reactions
16 Replies
334 Views
Wabongo wengi tunapenda penda lawama sana , kuliko uwajibikaji, kwa mfano mfupi tu angalia hata humu JamiiForums . Kuna nyumbu kazi yao ni kulalamika nyuzi ya jf kwa sasa zimekua za kijinga...
13 Reactions
29 Replies
228 Views
To the POINTI 👉🏼. Hivi wakubwa Ukitumia JIKO la gas lile dogo la kujaza 24000. Na ukatumia jiko la umeme dogo kwa unit za 24000 almost 69 units ka sikosei Ni wapi ni nafuu kwa matumizi ya...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari za wakati huu ndugu, Nina jambo ambalo kiukweli linaumiza roho yangu ninapoona likitendeka ila Sina lakufanya kwasababu wahusika wanakua na silaha za jadi mara zote na wanaonekana kuwa...
6 Reactions
21 Replies
208 Views
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Zuhura Mgeni Othman, amefanya uvamizi katika nyumba inayodaiwa kutumika kama danguro katika...
4 Reactions
96 Replies
656 Views
Tukiwa katika mazungumzo na rafiki yangu juu ya umuhimu wa kufanya maombi ya mara kwa mara hata kama hakuna tatizo, kwa sababu shetani yuko kazini kila siku kuwatafuta watu haweze kuwadhuru...
4 Reactions
10 Replies
83 Views
Ili kupata cheti cha kuzaliwa kupitia mfumo wa eRITA, unatakiwa kulipa Sh20,000, kisha kwenda RITA kuchukua cheti. Wiki hii nilifika RITA Chalinze DC kuchukua cheti cha mtoto. Baada ya kuchapisha...
3 Reactions
30 Replies
422 Views
Huu ni utafiti wangu hasa nilifanya kupitia mnyama fisi na nilibase kwenye mambo ya homoni za testosterone na progesterone Ambapo fisi jike ana testosterone nyingi kuliko dume na uume pia Hii...
9 Reactions
31 Replies
297 Views
Hellow wana Jf. Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala...
17 Reactions
195 Replies
1K Views
Kuna watu huwezi kuwasahau kirahisi. Jadda ni mmoja wao. Ukimletea hoja, anakupa hoja; ukijaribu kumuelezea jambo, anakuelewa na kukujibu kwa mantiki. Ni thinker wa kweli. Nimeikosa sana ile namna...
4 Reactions
7 Replies
118 Views
Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa...
1 Reactions
7 Replies
376 Views
Kuna mgahawa ulikuwa classic sana. Ile sehemu wanafanya renovation na pamefungwa... Aisee nimejikuta napata hasira, maana msosi ulikuwa classic sana. Sasa nianze tena kutafuta mahala pengine...
4 Reactions
25 Replies
217 Views
Huku mitaani kuna watu wananunua unit za umeme takribani sh. 350 kwa unit 1, na wengine bei ipo chini zaidi kwa unit 1. TANESCO, Naomba kujua tofauti hizi za bei zinatokana na nini...
7 Reactions
62 Replies
2K Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeongeza mikakati ya kuhakikisha uimarikaji wa huduma, ikiwa ni pamoja na kuimarisha ufuatiliaji wa vyanzo vya maji, ili...
1 Reactions
3 Replies
32 Views
Naomba kuuliza hapa napata bei gani kwa pesa za kitanzabnia nimenunua surual ya mtumba ninepata hii hela
4 Reactions
17 Replies
227 Views
Mimi ni mpandaji mabasi ya Mwendokasi hasa Gerezani tu Kimara, sasa leo nilibanwa na haja ndogo nikafika dirishani nikakata tiketi nika-scan nikaingia ndani nikaona choo nikajua kwaajili abiria...
0 Reactions
4 Replies
67 Views
Tarehe 23 mwezi huu wa 8 ni Jumapili, kwa hiyo tuseme mishahara italipwa baada ya tar 23, nini kinaendelea. Je haiwezekani kulipwa ndani ya muda wa kazi kabla ya tar 23? Au ndio tuelewe pesa za...
12 Reactions
41 Replies
723 Views
Mwanasiasa wa Afrika Kusini na aliyekuwa msemaji wa chama cha EFF, Dkt. Mbuyiseni Ndlozi, ametoa kauli nzito dhidi ya viongozi wa ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC), akipigania misingi ya...
7 Reactions
16 Replies
189 Views
Dodoma kituo kikuu nanenane ila abilia 80% wapo CBE,machame,mnada mpya,iringa road. DAR kutuo kikuu mbez magufuli ila 70% abilia wapo kalibu na shekilango,mbagala nk.IRINGA kituo kikuu ni igumbilo...
3 Reactions
28 Replies
282 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…